mumak
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,069
- 661
jamani hii tabia ya bord ya mikopo kukaa kimya bila kutoa taarifa yeyote ile kuhusu boom la wanafunzi wa chuo linaweza sababisha migomo isiyo na msingi kwa vijana wetu walio vyuoni kwani wengi wao hawana uwezo wa kkujikim na pia wanategemea hizo pesa kulipia karo na huduma nyingine za chuo mfano huku morogoro vyuo kama SUA,MUM, hadi leo wanaangaika sasa sijui serikali inalitambua hilo au wanasubili maandamano ndio wapeleke polisi wakatulize fujo?ombi langu kwa serikali na wabunge wajitaidi kuibana hii bord kwani ndio source ya matatizo yanayotokea ktk vyuo vyetu.Ameen