hivi bord ya mikopo inataka wanachuo waandamane kwanza ndio watoe boom?

pesa zimeliwa na ukawa ambalo halikuwahi kupangiwa hata bajeti,tatizo la watanzania ni wakurukaji wa kuanzisha mambo mfano bunge la katiba kitu ambacho kinawasababishia wengine majanga.Mungu wabariki wanavyuo na tz
Ukawa ndio wanai miliki hazina ya serikali???kweli wewe ni mwendawazimu.
 
Hii ni faida ya kukaa kimya wenzenu wakigoma. Na HESLB wanaelewa hili, wamewapa ambao huwa wanaandama wengine mtakula woga wenu mpaka hazina wakusanye kodi za mwezi huu labda mtafikiriwa.
 
Back
Top Bottom