hata hapo kwako hakuna mahali panapoonesha virobaHv mchezaji atakiwi kunywa kirobo??mara ngpi tumesikia wachezaji wa ulaya wamekutwa nyt clubs ama kulala na makahaba?tunajhic kulishanga soko la bongo bila kujua kua soka la bongo linatushangaa sisi!
naona Ngassa hajaambulia somo hapoToka 5,000$ hadi 700$....na wenzake sasa wanalipwa 20,000$!!!bangi na shule muhimu sana walahi tena!ataishia kuwa marioo tuu acha aje atemwe Simba ataenda team ndogo ndogo kama Kagera Sugar,Moro United mara ataanza ndondo mwishoni ataendesha boda boda au ataanza kunyonga bangi aishie jela!
jana nasikia ameikacha Simba tena...bada ya mazoezi kapanda mkoko wake......
Aliomba radhi kisirisiri...
sikio la kufa.......................Mtoto kwa mama hakui...
wamemwahidi watampa na pesa sawa na kuwamngukia.....Tetesi tuViongozi ndo walimwomba radhi.
kila shetani na mbuyu wakemaximo alipo mfukuza stars mlimwona maximo hafai semeni sasa huyo ni kunguru hafugiki
wamemwahidi watampa na pesa sawa na kuwamngukia.....Tetesi tu
kama ni kweli basi chozi la ******************liko kwenye nyusiNasikia aliwagomea walipomfuata, ikabidi wamwage na fedha juu. Je ni kweli kuwa msomali alimwaga chozi?