majuto mjukuuu, soka likiisha ndio atajuta kuchezea maisha.......aombe radhi wapi yeye na ndondo tu na ndio maana walimkomba kilongalonga
sikio la kufa.......................
...................alikua huko lakini na picha nimewawekea...............
mh...haya bana.....
Umeona eeeh?
Ingawa nakubali kuwa uelewa na shule kwa baadhi ya wachezaji wetu ni mdogo....Huwa wanashindwa kukabili changamoto ndogo ndogo na kujikuta wakishindwa kutimiza matarajio yao na ya wananchi wa Bongo.
yetu macho hapowamemwahidi watampa na pesa sawa na kuwamngukia.....tetesi tu