Hivi binadamu wote wanapenda romance au ni baadhi tu?

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,573
Mimi nataka niulize hivi binadamu wote wanapenda romance au ni baadhi?

Pia ninavyojua ni rahisi kufanya sex na mtu usiyempenda, lakini ni ngumu sana kufanya romance na mtu usiyevutiwa nae.

Nataka nijue population ya wanaume wanopenda kiss kama mimi iko vipi, yaani mimi nikiona manzi ako na lips (sexy lips) nzuri tu tayari sifa zote nampa.
 
Mimi nataka niulize hiv binadamu wote wanapenda romance, au ni baadhi???

Pia ninavyojua ni rahis kufanya mapenz na mtu usie mpenda, lakin ni ngumu sana kufanya romance na mtu usie vutiwa nae.

Nataka nijue population ya wanaume wanopenda kiss kama mimi iko vip, yan mm nikiona manzi ako na lips (sex lips) nzuri tu tayar sifa zote nampa.
Balee inakusumbua
 
Back
Top Bottom