Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,272
Build to rent ni mikopo kwa wajasiliamali wa kupangisha nyumba. Hitaji la nyumba mijini ni kubwa sana. Chumba chenye ceiling board, ndani ya nyumba yenye umeme na maji kinafika 70-90,000 mjini Dar.
Kiwanja katika sehemu unayoweza kuoangisha chumba 80,000 kinaweza kukugharimu milioni 10-15. Mkuu wa mkoa wa Dodoma aliwahi kusema usiweke pesa nyingi sana katika ujenzi wa nyumba ya kupanga. Hapa katika mahesa yako ondoa bati la msouth. Jitahidi gharama za ujenzi ziwe milioni 35-40.
Katika vyumba 6 ndani utapata 460,000 kwa mwezi na uwani kuna vyumba viliwi vya 40,000. Kama ulichukua mkopo bank kwa kujengea unaweza kufanya marejesho ya 200,000 kwa mwezi.