Hivi Badoo inafanyaje kazi?

Hivi Badoo inafanyaje kazi?

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,093
Reaction score
22,806
Habarini.

Mimi ni mwanachama wa hii social network kwa muda tokea 2011 ila sikuitumia sana nikatemana nayo maana sikuwa naelewa namna ya kutumia na Facebook ndio ilikuwa kila kitu

Sasa nataka kujua kwa wanaoitumia hebu nambieni, unatumeje ujumbe, unafanyaje kuwasiliana na marafiki unaowaona kule maana ipo complicated balaa.
 
Kwani yuko badoo hakuna huduma kwa wateja? Jaribu uwasiliane nao wakupe user manual
 
Wabongo kwenye ushauri ni zero kabisa. Unaweza muomba mtu direction ya kwenda posta, jengo fulani yeye akakuuliza unaenda kwa nani katika hilo jengo utadhani inamhusu.


Sasa hapa me nimeomba ushauri wa matumizi ya hii social networking site, sijatumia lugha ya dharau wala matusi, ila tazama michango ya raia wa JF wanavyojibu kwa madharau?!

Anyways haina shida ngoja niwacheki raia wa magharibi (QUORA DIGEST) wanisaidie sababu hapa naona m'meninanga tu.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom