MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,095
Achana nao hao mafalaWabongo kwenye ushauri ni zero kabisa. Unaweza muomba mtu direction ya kwenda posta, jengo fulani yeye akakuuliza unaenda kwa nani katika hilo jengo utadhani inamhusu.
Sasa hapa me nimeomba ushauri wa matumizi ya hii social networking site, sijatumia lugha ya dharau wala matusi, ila tazama michango ya raia wa JF wanavyojibu kwa madharau?!
Anyways haina shida ngoja niwacheki raia wa magharibi (QUORA DIGEST) wanisaidie sababu hapa naona m'meninanga tu.....
Ni hivi iko kama mtandao wa kawaida mfano kama Facebook app,jamiiforums nk ila tofaut yake unaweza weka setting ya kupata au kuwaona watu online waliokaribu na wewe
Ni simple we I download tu maelekezo mengine ni marahisi