HIvi bado uko makanisani mnadanganywa kuhusu hili?

HIvi bado uko makanisani mnadanganywa kuhusu hili?

Status
Not open for further replies.
interresting, Johanes Kepler alikuwa devouted Christian, halafu low iq anayeshi leo anakuja kukejeli Christianity wakati laws of physics anazozitumia kukejelia na zinazotumiwa leo hii kwenda space zilikuwa devoloped na formulated na Christians.

J.kepler, G.Gallileo, Isaac Newton wote walikuwa devout Christians halafu leo hii nije kumsikliza low iq gen z aliyevimbiwa ambaye hata hawezi kuelezea keplers au newtons laws? ..
Unaongelea watu waliokua karne ya 16 uko?
 
Unaongelea watu waliokua karne ya 16 uko?

ndiyo, laws of physics hazijabadilika ni zile zile, bila ya keplers au newtons laws hauwezi kurusha chombo chochote angani leo hii, haijalishi kama nasa, musk, russia, china, pakistan, iran wote bila ya keplers au newtons law hakuna kitu.

hizo satellites umeweka zinatumia keplers laws kukaa angani ...
 
Yesu ndo aliweka kanuni hizo Kwenye biblia au roho mkatifu ndo waliwaingia wakaleta hzo kanun?
 
Yesu ndo aliweka kanuni hizo Kwenye biblia au roho mkatifu ndo waliwaingia wakaleta hzo kanun?

inawezekana pia kwa maana walikuwa devout Christians, na devout Christians huwa wanasali kuombea mafanikio katika kazi zao ...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom