MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,732
- 2,714
bt mi nimekukumbusha ila naona unaruka futi mia haya tujifunze kuweka akiba za manenotatizo lenu bavicha ni kubwa sana; sidhani hata mnaelewa alichokifanya Rais Jana ni nini? ?
Kwa kuwasaidia tu Rais ametoa MSAMAHA kwa wafungwa haimaanishi kuwa kabatilisha hukumu ya mahakama. Hukumu ya mahakama inabatilishwa na maamuzi ya mahakama ya juu pekee.
Hivyo msamaha uliotolewa haumaanishi kuwa wahusika hawakutenda makosa; swala la kutenda au kutotenda limeshaamuliwa na mahakama.
Kilichopo sasa ni msamaha wa Rais jambo ambalo Lipo ndani ya utashi wake kwakua anamadaraka hayo kikatiba.
stroke umeshikwa ukashikika hapa ha ha ha..Hiyo ni moja wapo ya Sera ya ukawa, kuwaachia huru wanaolawiti Watoto wadogo hata baada ya chombo huru kama mahakama kutoa maamuzi yake!
Hilo ni tatizo linalowakumba watu wanaoshabikia mambo kisiasa...ataunga mkono au kupinga hoja kwa ile misingi ya " imetoka upande wetu".Dah! Wafia vyama wanavurugana kweli!
DuhMkuu, hivi kuna kazi nyingine unafanyaga? Mbakaji na Mlawiti utamsameheje?
Hahah ila nyie majamaa kwa kujitoa ufahamu hamjambo. Kwa hiyo Lowasa alitaka kubatilisha hukumu?!tatizo lenu bavicha ni kubwa sana; sidhani hata mnaelewa alichokifanya Rais Jana ni nini? ?
Kwa kuwasaidia tu Rais ametoa MSAMAHA kwa wafungwa haimaanishi kuwa kabatilisha hukumu ya mahakama. Hukumu ya mahakama inabatilishwa na maamuzi ya mahakama ya juu pekee.
Hivyo msamaha uliotolewa haumaanishi kuwa wahusika hawakutenda makosa; swala la kutenda au kutotenda limeshaamuliwa na mahakama.
Kilichopo sasa ni msamaha wa Rais jambo ambalo Lipo ndani ya utashi wake kwakua anamadaraka hayo kikatiba.
Name="stroke" post=19253191]tatizo lenu bavicha ni kubwa sana; sidhani hata mnaelewa alichokifanya Rais Jana ni nini? ?
Kwa kuwasaidia tu Rais ametoa MSAMAHA kwa wafungwa haimaanishi kuwa kabatilisha hukumu ya mahakama. Hukumu ya mahakama inabatilishwa na maamuzi ya mahakama ya juu pekee.
Hivyo msamaha uliotolewa haumaanishi kuwa wahusika hawakutenda makosa; swala la kutenda au kutotenda limeshaamuliwa na mahakama.
Kilichopo sasa ni msamaha wa Rais jambo ambalo Lipo ndani ya utashi wake kwakua anamadaraka hayo kikatiba.
Hili ndiyo jibu, naona Stroke anajaribu kuruka maneno yake ya wakati huo. Akubali tu kwamba alikua bendera na sasa anaendelea kuwa bendera. Hana misingi anayosimamia yeye kama yeye, ila kwa sababu limetoka upande wetu basi liko SAHIHI TU.Hilo ni tatizo linalowakumba watu wanaoshabikia mambo kisiasa...ataunga mkono au kupinga hoja kwa ile misingi ya " imetoka upande wetu".