Hivi babake Nape alikuwa nani nchi hii?

Hivi babake Nape alikuwa nani nchi hii?

Nimegundua wengi humu mnajidai ujanja kumbe wa juzi. Mzee Mnauye alutunga nyimbo nyingi na uhamasishaji wakati chama ni serikali na serikali ni chama. Tuliziimba sana shule za msingi enzi hizo . Nafikiri ndiye mtunzi wa Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote
Tanzania nakupenda kwa moyo wote ulitungwa na mtu tofauti kama sikosei, kama nakumbuka vizuri alikuwa padre wa Anglikana Tanga.
N. B.
Nahisi hapa nimechanganya na wimbo Tazama ramani utaona nchi nzuri...
 
Nimegundua wengi humu mnajidai ujanja kumbe wa juzi. Mzee Mnauye alutunga nyimbo nyingi na uhamasishaji wakati chama ni serikali na serikali ni chama. Tuliziimba sana shule za msingi enzi hizo . Nafikiri ndiye mtunzi wa Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote
Sijakuelewa bwana ndogo
Ebu fafanua maana umeniquote hapa
Kwamba nimebisha ulichosema au?
 
UOTE="inamankusweke, post: 24082590, member: 223349"]muulize uliyemsikia kama alisaidia kupanua mapaja siku hiyo[/QUOTE]
Gongo haijawahi kumwacha mtu salama
 
Nimegundua wengi humu mnajidai ujanja kumbe wa juzi. Mzee Mnauye alutunga nyimbo nyingi na uhamasishaji wakati chama ni serikali na serikali ni chama. Tuliziimba sana shule za msingi enzi hizo . Nafikiri ndiye mtunzi wa Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote
Kweli ni yeye ndiye mtunzi/muimbaji wa wimbo pendwa wa Tanzania,Tanzania,nakupenda kwa moyo woteeeee.

Pia hata hawa akina Mosses na kakake ni waimbaji na wapiga vyombo km keyboard wazur tu
 
Brigedia jenerali Moses Nnauye ndo maana Nape anaringa baba yake alikuwani miongoni mwa wafia chama ktk nchi hii.

Ndo maana kina chakubanga wanacholeka tu...
 
Mbona nimewah kusikia kuwa baba halisi wa Mh. Nape ni mzee Mark Mwandosya?
Wakikujibu nami nitag nione jibu maana nami nishasomaga kwenye mwanahalisi wakisema hakuwa mtoto wa Nnauye ndo maana kuna wakati fulani familia ya Mzee nnauye walifanya kumbukumbu ya kifo cha mzee wao Nape hakushirikishwa sijui kuna ukweli gani
 
Moses Nnauye alikuwa mwanajeshi na kada wa chama cha mapinduzi.Alijipatia umaarufu mkubwa katika vita vya Kagera kwa kuwa alikuwa mhamasishaji hodari na alitunga nyimbo nyingi kwenye vita hiyo ambazo zilileta hamasa kwa wanajeshi na Watanzani wote kwa ujumla.Nnauye pia aliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa Singida.Nape Nnauye alizaliwa na mwalimu wa Kinyiramba lakini babake alimtelekeza mama na mtoto.Wanawake wa Kinyiramba wakitelekezwa wakiwa na mimba au baada ya kuzaa watoto wao hasa wa kiume huaita jina la NAPEGWA, kwa Kinyiramba maanake mtoto nimepewa na Mungu.Sasa mheshimiwa Nape yeye anapendelea kuitwa kwa kifupi NAPE, badala ya NAPEGWA.
 
kwenye jina haitwi "NAPEGWA" kama unavyolirefusha wewe ni "NAPELAPE"
 
Mzee Moses Nauye alimalizia kwa cheo kama alichokuwa nacho mwanaye Nape cha "KATIBU WA ITIKADI UENEZI WA CCM (T)"
 
Back
Top Bottom