Hivi babake Nape alikuwa nani nchi hii?

Hivi babake Nape alikuwa nani nchi hii?

Moja kati ya wale ambao likisemw neno 'CCM INA WENYEWE' naye ni kati yao..
 
Mbona watoto wa Nnauye hawamjui Nape? Kwenye Tanzia hakutajwa kabisa!!
Ulishaambiwa walitelekezwa lakini baada ya kuwa mkubwa alichukuliwa na babake lakini mama Nnauye aliweka ngumu kumtambua kwenye familia lakini naona baada ya babake kufariki baadae alipokelewa kwenye familia.
 
Kwa ujumla wake wa thread hii, tujitafakari kwa umakini. Je thread hii ina tija yoyote na kwa nani? Hatuna vyenye maana vya kuvijadili? Natoa hoja.
 
CCM imezaliwa baada ya MNauye kuwa kwenye picha ya ukombozi. Mnauye amepigana Msumbiji, Namibia, Zimbabwe na mahali popote wana wa TPDF walikanyaga. Yeye alikuwa mpiganaji na mhamasishaji mkuu. Ungekuwa umri wa kwenda jeshini miaka ya late 70 au early 80 kama sisi ungezijua nyimbo zake zote.
Huyu aliimarisha TANU na harakati za ukombozi kwa kutumia sanaa yenye kuhamasisha. Aliwapa morali wapiganaji walipokuwa front line na alirudi kuhamasisha ujenzi wa TANU baadaye ikaja CCM ambayo wengi ndo mnaifahamu.
Ujuzi wa kutumia ara za mziki Nnape kafundishwa na baba yake. Wameishi Dodoma miaka ya late 80 na early 90 wakati huo Salome Kiwaya (Rip) anaanza Mziki. Kati ya watu waliojenga heshima ya Tz kwenye ukombozi wa Afrika ni huyu baba yake na Nnape. Atakayembeza abeze kwa sababu zake.
 
ni kwel

ni kweli mkuu wameishi sana DODOMA UZUNGUNI NYUMBA KUMI PALE miaka ya 80 -95 kama sikosei
 
Moses Nnauye alikuwa mwanajeshi na kada wa chama cha mapinduzi.Alijipatia umaarufu mkubwa katika vita vya Kagera kwa kuwa alikuwa mhamasishaji hodari na alitunga nyimbo nyingi kwenye vita hiyo ambazo zilileta hamasa kwa wanajeshi na Watanzani wote kwa ujumla.Nnauye pia aliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa Singida.Nape Nnauye alizaliwa na mwalimu wa Kinyiramba lakini babake alimtelekeza mama na mtoto.Wanawake wa Kinyiramba wakitelekezwa wakiwa na mimba au baada ya kuzaa watoto wao hasa wa kiume huaita jina la NAPEGWA, kwa Kinyiramba maanake mtoto nimepewa na Mungu.Sasa mheshimiwa Nape yeye anapendelea kuitwa kwa kifupi NAPE, badala ya NAPEGWA.
Ehe kumbe.
 
Back
Top Bottom