Mkwawa mnyalukoro
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 232
- 136
Enyi wasomi wa jf naomba kuuliza hivi inawezekana ukaomba diploma muda huu bila kupitia NACTE?
Dah kuna dogo hapa home mpk sasa hajaomba Chuo
Je unaweza kwenda direct Chuo akiwa na details zake za kitaaluma?
Dah kuna dogo hapa home mpk sasa hajaomba Chuo
Je unaweza kwenda direct Chuo akiwa na details zake za kitaaluma?