Hivi Ameoa au Ameolewa?

Hivi Ameoa au Ameolewa?

WaTZ wengi bado wanamfumo Dume,mtoto wako unataka akubebee nani?,hivi ni wapi pameeandikwa kuwa mwanaume atakiwi osha vyombo? Maisha ni kusaidiana
 
Wakuu ni raha sana kubeba mtoto wako na hasa kama mmefanana,me hata nikitembea na wife lazima niwabebe watoto wangu maana ni twins halafu nimefanana nao kupita kiasi,kwakweli huwa najisikia raha sana..
 
Hakuna issue hapo. Labda kama una mawazo na mtazamo wa enzi za ujima.
 
Back
Top Bottom