Hivi ambaye huwa naiona hii body language ya mke wa Rais haiko sawa ni mimi peke yangu au?

Mie huwa naona ni mtu asiyependa kabisa kuwa hadharani na anatamani kuishi maisha yake aliyokuwa anayaishi. Zamani nilidhania pia dingi anambana sana.

Lakini baada ya kuona ile kideo ya mzee akiwapongeza nafikiri Taifa Stars kufanikiwa kuingia AFCON, NILIBADILI MAWAZO na kuamini maza hapendi kamera kabisa sio kama yule mama yetu mshambenga wa enzi zile aliyekuwa anaenda hadi kubembea na kamera atutumie picha wanae tuone anavyokula nchi yetu.

Kwenye ile kideo mzee akitoa pongezi sebuleni kwake, mama alikuwa mezani akipiga msosi. Ukiangalia interaction yao pale, ni kama yetu tu huku kitaa na niliona maza yuko kipekee tu.
Na kwa aina fulani ananikumbusha bibi yangu wa Namanyere, Nkasi. Bibi yangu alizaliwa kabla ya uhuru na huwezi kumlinganisha hata kidogo na mabibi wa kisasa wa dot com. Simu tu ya tochi mpaka leo kuitumia bado inamzingua 🤣. Lakini busara na hekima kama zote.

Nadhani personality ya maza imesaidia pia kupunguza madili yaanziyo Magogoni. Maana enzi zile, yule maza aliyepita ni kama na yeye alichaguliwa uraisi vile.
 
Nimemuuliza @Gentamycin.Subiri aje kujibu mwenyewe. Wewe ni An Eagle jamani.
 
Nikukumbushe tu. Hapa umelogin kama An Eagle na sio cleverbright .Kuwa na multiple ID's ni noma. Ona ulivyojichanganya. Pole Kaka.
 
Aiseee uko kichwani mwangu, huyu mama sio mtu wa publicity ana aina ya maisha ya kawaida ya wanawake wa kiafrika, sasa sisi ndio tunaopata tabu kwakuwa tulimzoea yule mama aliyepita na yule mama wa awamu ya tatu waliokuwa km nao ni marais
 
Una makengeza?
 
Aiseee uko kichwani mwangu, huyu mama sio mtu wa publicity ana aina ya maisha ya kawaida ya wanawake wa kiafrika, sasa sisi ndio tunaopata tabu kwakuwa tulimzoea yule mama aliyepita na yule mama wa awamu ya tatu waliokuwa km nao ni marais
Kabisaa. Mama Nyerere likuwa kama huyu mama kwa sie tuliokuwa na akili timamu miaka ya 70 na 80 na kumuona mama Nyerere akiwa Ikulu. Ila Sitti alipoingia na mzee Ruksa ndo mke wa raisi akawa FIRST LADY, Na vurugu zilizofuata za wahindi, wachaga na akina nanihii, ikawa taabu tupu. Kwahiyo tulikuwa na miaka 30 ya kuzoeshwa kuwa ma maza hawa ni wasampuli fulani. Ukilinganisha wengi ya waliomo humu JF ni kizazi cha dot com, basi wengi wao Mategemeo ni kuwa maza awe kama mke wa raisi wa marekani.

Hawajui mwanamke asili wa kiafrika yukoje.


Mie nadhani maza wetu yuko vizuri.
 
Anapigwa?
 
Pole sana mkuu, hizi ndizo moja kati ya changamoto za humu
 
Kumbe CLEVERBRIGHT & AN EAGLE ni ID za Mtu mmoja. Hongera sana Mkuu.
 

Hakuna mwanamke anaweza vutiwa na chochote na jamaa yenu!

Hana style!

Hana swagg

Hana personality

He is not rich

Mfupi

Mbaya wa sura na body haina symmetry!

Etc

Hakuna mtoto wa kike anaeweza kuvutiwa sexually na Jiwe!!!!

Thats the bottomline my nigga!

Kwa mtu kama mimi,I guarantee you,I have pulled more pussy than him ever had...Leo,kesho or anytime,I can beat him flat out outshine him!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…