Aliyesoma Elimu ya Masafa(ya Mtandao) kama Open University akikutana na waliosoma UDSM, SAUT na Mzumbe anatakiwa Kuchangia lolote?

Punguza sifa mkuu
Tatizo lenu vijana mnaleta dharau za vijiweni bila data!

Screenshot_20211205-204220_WhatsApp.jpg
 
Tanzania Vyuo Vikuu ni UDSM, SAUT Mwanza, Mzumbe na Tumaini labda na kidogo sana UDOM, ila vilivyobaki hamna Kitu. Huu ni mtazamo wangu na Uheshimiwe ila ukikukwaza tafuta Sumu ya Panya Koroga unywe Ufe.
Nimesoma Mzumbe lakini nilishuhudia pia Madudu ya kutisha hasa wizi wa paper, kuna siku paper ilivuja ndo nikajua kumbe na vyuo vikuu haya mambo yapo, Kuna watu wamepita hivyo vyuo na ni weupe tu na kuna walio pita OUT ni vichwa,
 
Pumbavu aliyekuambia kuwa Vijiweni ni kubaya na hakufai nani? Rais Mstaafu Kikwete kabla na hata sasa alikaa na hukaa Kijiwe chake Kikubwa cha Saigoni. Je, nae ni Muhuni au hana au hakuwa na Kazi au Mambo muhimu ya Kufanya?

Kuna Kazi tena Muhimu na Kubwa katika Jamii na huenda hata kuliko yako huwezi kuifanya na kufanikiwa nayo Kiutendaji kama hukai Vijiwe mbalimbali. Je, Vijiweni ni Kubaya?

Kuna Watu leo hii wana Ajira zao Kubwa huenda kuliko yako na wengine wanapata 'Connections' za Biashara kupitia kukaa Kwao huko Vijiweni unakokudharau. Je, Vijiweni ni kubaya?

Nimekudharau zaidi na hauna Akili pia.
Approach yako haikuwa nzuri ndio maana ulijibiwa ilivyofaa kujibiwa, punguza dharau na majivuno ya kike wanaume timamu hawajimwambafy kwa kuwashusha wengine, bali output kwenye jamii inayowazunguka, Pumbavu kabisa wewe
 
Kijiweni ni wapi
 
You're Stupid Creature a Trillion times!!!
 
Inawezekana vipi 'Wanamume' wameumia Darasani huko UDSM, SAUT na Mzumbe halafu Wewe uliyesoma OUT ( hapo Biafra ) na Kupata Degree ( Shahada ) yako tukikutana Vijiweni uwe na la Kuchangia?

Elimu ya Masafa 'inamheshimisha' Mtu kweli au ndiyo labda 'inamdharaulisha' mbele ya wale Waliohudhuria 'Lecture Sessions' zote kwa miaka Mitatu au Minne na Kupata Bachelors zao walizozihangaikia Darasani huku 'sometimes' wakipata 'Sapu' za Kutosha tu.
Msamehe huyu ni wa kutafuniwa jamani, Elimu ni kile ulichokisoma na kukionesha kwenye jamii usidanganywe na vyeti hata vya ubatizo navyo ni vyeti

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom