Hivi albadil inafanyaje kazi?

Hivi albadil inafanyaje kazi?

Mtafute Mzee Magoma akupe kitu kinaitwa kurujuani.
 
Attachments

  • 032ace325fe15d52772eba0622cb62cc.mp4
    7.8 MB
Kama ni Dua tu direct Kwa Mungu chumvi ya mawe,ndimu na sindano nizanini kwenye albadiri?
Ilikuwa ni vita vya Badr (jisomee)
Enzi za Mtume SAW na wanapiganaji wengi na waliokuwa nae kwenye vita walikuwa wanasoma Dua hiyo kwa kumuomba Mungu sana
Haihusiani lolote na uchawi wala kumroga mtu, waswahili ndio wamebadili na kuwa mengine
Hao ni washirikina kama washirikina wengine tu
ma
 
Kama ni Dua tu direct Kwa Mungu chumvi ya mawe,ndimu na sindano nizanini kwenye albadiri?

ma
Ndio maana nikasema ni shirk tu hakuna lingine
Dua waombe watu wa kale tena kwa kumuomba Mungu
Halafu tumuamini mswahili ambae kaibadili kwa manufaa yake na kuiita albadili"
Ni waganga njaa
Huyo anaejiita shehe anasoma albadiri mwangalie akiwa na chale kifuani basi ni mshirikina
 
Uchawi na kutumiana majin tu mkuu.
Maelezo yote utakayoeleza rejea maandishi yangu hapo juu
 
Albadiri ni ushirikina na haikubaliki katika uislam.
 
Haya mambo nimekuja kuyajulia Dar, kwetu Bulongwa Makete Uislam hauko.

Ndugu zanguni naomba kujulishwa jinsi albadil inavyofanya kazi. Kuna MTU kaniibia kiasi kikubwa sana cha hazina yangu, sitaki afe ila nataka arudishe mwenyewe na wala asipatwe na wazimu maana najua karma ita ni haunt kama anavyoamini Pascal Mayalla Na Mshana Jr.

WEMA USIO MIPAKA, WEMA USIO KIFANI.
Ahl Al Badr

Badr ni kimji kidogo kilichopo kwenye mipaka ya jiji la Madih Munawara.

Kihistoria, wakati wa Mtume Muhammad Salla Allahu alayhi Wasalaam kulitokea vita kubwa hapo ya wasioamini Allah na walioupinga Uislam na Waislam. Waislam wengi wakauliwa kwenye vita hiyo lakini wakashinda.

Kuna aya ya Qur'an inasema:

154. Wala msiseme kuwa wale walio uwawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni maiti; bali hao ni wahai, lakini nyinyi hamtambui. 154

"Ahl al Badr" Hiyo ni dua yanatajwa majina ya Waislam waliopigana hivyo vita vya Badr, na yanapotajwa mtu anashitakia kwao kwa yaliyomsibu, kwa kuwa hao ni waja wema na kuna wanaoamini bado umauti haujawafika, basi huchukuwa hatua stahiki kwa aliyedhulumiwa.

Kuna hitilafu ya Waislam katika hilo, kuna wanokataa hilo na kuna wanalokubali hilo.
 
Asante sana kwa short brief inatojitosheleza. Je unaweza kunisomea hiyo dua mwizi wangu arejeshe Mali yangu bila kuwa kichaa wala bila kudhurika?
 
Back
Top Bottom