Hivi albadil inafanyaje kazi?

Hivi albadil inafanyaje kazi?

Haya mambo nimekuja kuyajulia Dar, kwetu Bulongwa Makete Uislam hauko.

Ndugu zanguni naomba kujulishwa jinsi albadil inavyofanya kazi. Kuna MTU kaniibia kiasi kikubwa sana cha hazina yangu, sitaki afe ila nataka arudishe mwenyewe na wala asipatwe na wazimu maana najua karma ita ni haunt kama anavyoamini Pascal Mayalla Na Mshana Jr.

WEMA USIO MIPAKA, WEMA USIO KIFANI.
wanakutumia majini yaje ya kudhuru kwasababu wanayafuga. Kitu nilichocheka sana ni kwamba, majini hayo hayana nguvu dhidi ya watu waliookoka au hata waisrael wowote wale, kwasababu Mungu wa kweli alishatamka kwamba hakuna uchawi juu ya muisrael utakaofanya kazi wala uganga.

kuna picha nyingi Gaza zimetoka, wayahudi wanavunja msikiti, wananyea hadi mavi, wanakebehi kuran wanazozikuta mle, wanafanya ufirauni wote na kwasababu wengine ni mashoga hadi wanafirana mlemle, hakuna jini limewapata. miaka 70 tangu Israel ijijenge, waislam wameomba al badili zote hadi wamemaliza kuran yote, hakuna hata moja iliwahi kuwapata wayahudi. kwahiyo wakija kwako leo, wakikutishia albadili waambie tu mshindwe kwa Jina la Yesu. ni uchawi tu wanakutishia, hakuna cha mungu wala shemeji yake mungu.hapo ndio utajua dini ya kweli ni ipi na ya uongo ni ipi. FaizaFoxy
 
Kuna mjinga mmoja alifungua kisima cha msikiti akavuta ile mashine ya kuvutia maji ..Basi waislam wakatangaziana eakaja wazee misikiti km kumi na watoto wakasoma hiyo albadili huku wakisema huyo mtu ataileta hiyo mashine 🤣🤣🤣cha ajabu mpaka leo haijaletwa hiyo mshine
 
Haikua albadiri ilikua Dua ya kawaida. Usijidanganye
 
Haya mambo nimekuja kuyajulia Dar, kwetu Bulongwa Makete Uislam hauko.

Ndugu zanguni naomba kujulishwa jinsi albadil inavyofanya kazi. Kuna MTU kaniibia kiasi kikubwa sana cha hazina yangu, sitaki afe ila nataka arudishe mwenyewe na wala asipatwe na wazimu maana najua karma ita ni haunt kama anavyoamini Pascal Mayalla Na Mshana Jr.

WEMA USIO MIPAKA, WEMA USIO KIFANI.
Kuna kitu kinaitwa ALQUJUNI mtafute mzee magoma atakusaidia sanaaa
 
Ilikuwa ni vita vya Badr (jisomee)
Enzi za Mtume SAW na wapiganaji wengi waliokuwa nae kwenye vita walikuwa wanasoma Dua hiyo kwa kumuomba Mungu sana
Haihusiani lolote na uchawi wala kumroga mtu, waswahili ndio wamebadili na kuwa mengine
Hao ni washirikina kama washirikina wengine tu
Sahihi kabisa, Ahlul-Badr.

Hallelujah!!!
 
Hiyo kitu acha, weka mbali na watoto.
Albadli au Ahli Lbadr ni vita ya kisasi, kuna wafuasi wa mtume fulani maaruru walipigana vita konki.
Sasa Albadli ni kisomo Sihir L Quran (uchawi wa Quran) uliomixiwa na aina nyingine ya uchawi wa Baharini , ile dua imetaja baadhi ya wajeda wa yule mtume.
Mara nyingi husomwa kama kuapiza.
Sasa msomaji anaweza kuapiza kwa namna anataka.
Anaweza kuapiza kila atakayemloga fulani afe, kila atajayelala na wife afe, au aliyeiba buku langu afe n.k
By age of 15 yrs hiyo kitu nilikuwa naweza kuisoma although sojawahi kufanyia practical.
Sasa Mimi ni wa Yesu.
Kazi iliyobaki ni kuwatoa mapepo wasoma Albadli wote
 
wanakutumia majini yaje ya kudhuru kwasababu wanayafuga. Kitu nilichocheka sana ni kwamba, majini hayo hayana nguvu dhidi ya watu waliookoka au hata waisrael wowote wale, kwasababu Mungu wa kweli alishatamka kwamba hakuna uchawi juu ya muisrael utakaofanya kazi wala uganga.

kuna picha nyingi Gaza zimetoka, wayahudi wanavunja msikiti, wananyea hadi mavi, wanakebehi kuran wanazozikuta mle, wanafanya ufirauni wote na kwasababu wengine ni mashoga hadi wanafirana mlemle, hakuna jini limewapata. miaka 70 tangu Israel ijijenge, waislam wameomba al badili zote hadi wamemaliza kuran yote, hakuna hata moja iliwahi kuwapata wayahudi. kwahiyo wakija kwako leo, wakikutishia albadili waambie tu mshindwe kwa Jina la Yesu. ni uchawi tu wanakutishia, hakuna cha mungu wala shemeji yake mungu.hapo ndio utajua dini ya kweli ni ipi na ya uongo ni ipi. FaizaFoxy
Waisrael ni wepi? Wale weusi wa zamani kama Solomon Na Yesu au hawa wazungu wa Leo wanaotafuta u Israel kwa kuunga unga Na super glue?
 
Ilikuwa ni vita vya Badr (jisomee)
Enzi za Mtume SAW na wapiganaji wengi waliokuwa nae kwenye vita walikuwa wanasoma Dua hiyo kwa kumuomba Mungu sana
Haihusiani lolote na uchawi wala kumroga mtu, waswahili ndio wamebadili na kuwa mengine
Hao ni washirikina kama washirikina wengine tu
shehe hujafafanua vizuri. muelezee etymological ya jina" al badili" nachukia sana mwenye kuweka L badala ya R.
albdili kiswahil swahil weng wala hawajui hata ni nini. kiujinga ujinga wanawaza labda uchawi.
al badiri. badri imetokana na eneo kulipoganwa vita vya kidini place badri. vita hivi vilikua na hali ngumul upande wa waislam kwanza walikua wachache kias 311. upande wa pili jesh la maadui 1000 na zana zote.vita vilipiganwa kimaajabu na 311 wakashinda. majina yao hao watu ndio huwa yanasomwa kuwaombea kwa mungu wawe mahala pema na kwa ujasir wao wa kushinda vita wewe uliyedhulumiwa bas mungu akufanyie jambo najaribu kukuelezea kiurahis
 
Nalijui Sheikh, ila nimeandika pia kwa mabano (jisomee
Hapa wengi hawajui hata baadhi ya waislam pia lakini lengo langu ni kuwa Al Badr ni hiyo unayoizungumzia na sio Ushirikina na kurogana kama wengi wanavyodhani na kufuata hayo mambo
Asante kwa ufafanuzi kwa faida ya wengi
 
Kuna mjinga mmoja alifungua kisima cha msikiti akavuta ile mashine ya kuvutia maji ..Basi waislam wakatangaziana eakaja wazee misikiti km kumi na watoto wakasoma hiyo albadili huku wakisema huyo mtu ataileta hiyo mashine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]cha ajabu mpaka leo haijaletwa hiyo mshine
Mkuu hiyo Mashine Uliiuza shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom