Hivi albadil inafanyaje kazi?

Hivi albadil inafanyaje kazi?

Ila sisi wa Mikoani tumejifunza mambo mengi tulivyokuja Dar,ila niligundua kuwa waswahili wengi ni watu wenye akili finyu,wanapenda sana mambo ya ushirikina,akaizinguana na mtu anasema naenda kukusomea albadir. Ila nashukuru kuna Shehe mmoja alisema huo ni ushirikina kuna Ahlul Badr na hiyo ya waswahili ni albadir wanayoitumia kwenye ushirikina kuwadhuru watu,pia alisema hakuna urafiki kati ya binadamu na jini,usije ukajaribu kabisa
 
Njia iliyo bora ni kumsamehe na kuacha karma ifanye kazi yake.

Kitendo cha kumpiga dua mbaya ni kuamua kugawana maumivu.


Kama wewe ni sipiritual person just know hiyo hela lazima irudi kwa njia tofauti tofauti.
 
Haya mambo nimekuja kuyajulia Dar, kwetu Bulongwa Makete Uislam hauko.

Ndugu zanguni naomba kujulishwa jinsi albadil inavyofanya kazi. Kuna MTU kaniibia kiasi kikubwa sana cha hazina yangu, sitaki afe ila nataka arudishe mwenyewe na wala asipatwe na wazimu maana najua karma ita ni haunt kama anavyoamini Pascal Mayalla Na Mshana Jr.

WEMA USIO MIPAKA, WEMA USIO KIFANI.
It is myth, something does not exist at all
 
Ilikuwa ni vita vya Badr (jisomee)
Enzi za Mtume SAW na wanapiganaji wengi na waliokuwa nae kwenye vita walikuwa wanasoma Dua hiyo kwa kumuomba Mungu sana
Haihusiani lolote na uchawi wala kumroga mtu, waswahili ndio wamebadili na kuwa mengine
Hao ni washirikina kama washirikina wengine tu
Hahaha asante
 
Sorry, Naombeni site ya kudownload full movie free za makampuni ya movie kama universal pictures
 
Albadili ni uchawi na kwa maana hiyo wanayoitumia ni motoni moja kwa moja ,siku ya mwisho mtajua mlikuwa mnamtumikia nan
 
Haya mambo nimekuja kuyajulia Dar, kwetu Bulongwa Makete Uislam hauko.

Ndugu zanguni naomba kujulishwa jinsi albadil inavyofanya kazi. Kuna MTU kaniibia kiasi kikubwa sana cha hazina yangu, sitaki afe ila nataka arudishe mwenyewe na wala asipatwe na wazimu maana najua karma ita ni haunt kama anavyoamini Pascal Mayalla Na Mshana Jr.

WEMA USIO MIPAKA, WEMA USIO KIFANI.
Weka kwa uwazi umeibiwa nini na njia gani iliyotumika ili na sisi tujihadhari
 
Ipo ndio miujiza wanayoikubali hiyo(kudhuru)na sio uponyaji na ukiwaambia kwamba MUNGU anaponya basi huamsha hasira kali na kejeli kibao kwamba basi hospitalini kusingekuwa na wagonjwa sasa jiulize hiyo albadir imeshaua,tia uchizi wangapi?
 
Back
Top Bottom