Hivi Aisha Madinda yupo wapi?!

Hivi Aisha Madinda yupo wapi?!

Alipoachana na fikiri madinda alijitumbukiza kwenye mapenzi na muuza ngada mmja ibra aka lipmba jamaa ndy alimuingiza kwenye matumizi haswa ya madawa kwa kasi!
Dah enzi hzo tangwa mango garden ilikuwa never miss "ile shika ungoo watu tuko na bia zetu tumezikombatia"
Ilifika mpk hatua mpk watu wanaingiaa bureee...mkiingiaaa ndani mobbb lazima mzee choki akikuonaaa ataitikiaaa"watoto wa kinondoniiiiiii"

Ilikuwa shidaaaa ila aisha alikuwa na mshepuu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom