Hivi Aisha Madinda yupo wapi?!

ndo hapo sasa FL,

huyu alikuwa tishio.sasa naona mara ghafla mara ghaflaaaaaaaa!
niliwahi kujiuliza pia kuhusu banza,lakini nilipomwona mwananyamala hosp,niliamua kukaa kimya!
sasa huyu sijui.................

kuna kipindi alikuwa anaumwa mguu alipopona mguu sijui nndo akaishia labda uarabuni au ...waandishi wa habari watutafutie huyu bibie maana ndo kazi yao
 
kuna kipindi alikuwa anaumwa mguu alipopona mguu sijui nndo akaishia labda uarabuni au ...waandishi wa habari watutafutie huyu bibie maana ndo kazi yao

Shhhhhhiiiiiiii. (Usimwambie mtu). N.gom.A. Stuka. Kama kuna mpwao aliteleza njia pale ujue lahaula lakwata.
 
kuna kipindi alikuwa anaumwa mguu alipopona mguu sijui nndo akaishia labda uarabuni au ...waandishi wa habari watutafutie huyu bibie maana ndo kazi yao

Duh isije ikawa naye kawa kama Banza, kuna siku niliona kwenye gazeti moja la Udaku walimuonesha nadhani Lilian Internet aisee ulikuwa huangalii mara mbili!
Inawezekana bado anaumwa mguu Aisha Madinda!
 
Mimi ninachowapendea twanga, ni kwamba walikuwa hawanyimani misaada, Aisga ameshapona ila kuna wengine nao sas wanaumwa miguu

...nadhani tatizo liko wazi,
 
Mimi ninachowapendea twanga, ni kwamba walikuwa hawanyimani misaada, Aisga ameshapona ila kuna wengine nao sas wanaumwa miguu

...nadhani tatizo liko wazi,

Yaa. wazi kabisa. Wanapanua sana miguu mpaka ina exceed limit.
 
km.jpg

anawaangalia kwa poz
 
Nadhani fani ya sanaa hasa muziki na filamu imevamiwa na pepo la ngono.
Bendi ya msondo wamepuputika mpaka imefika mahali ukisikia habari za msiba wa mwanamuziki wala hushangai.

Twanga wanaanza bado tutasika wasanii wa filamu watakavyowapokea msondo kwa kuzikana kila siku.Mbaya ni pale tutakavyodanganywa sababu za kifo,utasikia alikuwa akisumbuliwa na ini mara alikuwa akisumbuliwa na kifua kwa muda refu kama ni mkristo mnawekewa picha juu ya jeneza?.
 
kwa hiyo una maana gani?
huyu mchuchu ana ngoma,au?
 
Mbona kuna Member wa JF hamuwaaulizii wako wapi?nao ni wagonjwa? kwa mfano.....
 
huyu mchuchu mimi nilikuwa namzimia sana,na ndio aliyekuwa ananifanya niende kuwaona jamaa wakitumbuiza.yupo wapi huyu mtoto wazee?

au yupo yuropu nin?

i760_aishamadinda4bc1.jpg

i759_aishamadinda2bc1.jpg

i761_aishamadindabc1.jpg

km.jpg

aisha-madinda-wa-twanga-pepeta.jpg

aisha_madinda.jpg

1244978813_2twanga.jpg

1.JPG

madinda.jpg

DSC00105.JPG

1.jpg

AISHA-MADINDA.jpg

Akhera madukaniiii kitambo sana... Udongo ulishakula kichwa siku nyingi tuu

Jr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom