Hivi 2020 kuna Mtanzania ataichagua CCM?

Hivi 2020 kuna Mtanzania ataichagua CCM?

Ndugu yangu mtoa uzi, hapa Tanzania hapana UPINZANI bali pana waganga njaa ,tena njaa zao binafsi na familia zao tu. Mwaka 2020 JPM atashinda kwa kishindo zaidi kuliko hata uchaguzi uliopita mwaka 2015.
 
Kwa upinzani upi ccm itashindwa?
Wazee walioiba na kushiba wakiwa ccm,
Wazee hawana jipya hao.

Kwa mtaji wa kingunge na kundi lake hawana uwezo wa kutawala kwani walishindwa vibaya huko walikotoka.

Malengo yake yalipokwama hata misaada km ya kipindi kile haipo tena,
Ukitaka uamini kuwa hakuwa na moyo wa kutoa bali alikuwa na lake jambo mpe mwaliko uone km atakuja.
 
Kwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.

Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.

Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Kitakacho waangusha ni ahadi baadhi hawajatimiza,
Ufisadi amedhibiti lakini hawajashitakiwa,
Viwanda bado,
Kupanua soko la nje,hili ametimiza wamachinga kuweka meza nje ya soko la kariako na barabarani.
Mengineyo mengi wanananchi wataamua.
 
Kwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.

Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.

Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.

Fanya sasa tathimini kwa waliochangia upate majibu ya swali lako, na utoe marejesho.
 
Sisiem haina mpinzani hapa tz, wengine wote ni wapiga dili wako kibiashara hawana nia ya dhati kabisa, mtu hana mbinu mbadala yaani sera yake kuu ni kupinga, mwingine uyu ndio usiseme leo kajiuzulu kesho karudi yaani ni mchanganyo tu uyu nae kamezwa hana sauti kafanywa mtaji sasa kwanini asishinde 2020

Ccm ni janga la taifa
 
Wapo watakaoichagua, lakini kama Tume huru ya Uchaguzi ingekuwapo Maamuzi ya wapiga kura yangeheshimiwa. Lakini kwa hii TUME hata Wananchi mkiamua kwenye Sanduku la KURA Tume itabatilisha. Way Forward ni KUPIGANIA TUME HURU YA UCHAGUZI ili yeyote atakayeshinda kwenye kisanduku cha kura ndio atangazwe! ndio kashinda
 
Nitaendelea kuipigia kura CCM hata miaka milioni ijayo,kwa upinzani huu uliojaa wajinga wengi wasiokuwa na kitu cha kukipigania CCM iongoze daima.Mbowe,lowassa,sumaye,kingunge,mgeja nk ni zaidi ya fisi
Mafisi walipo ccm huwaoni mkuu wale waliosema bilioni ni vijisenti huwaoni waliosema hela ya mboga huwaoni au nawao wapo upinzani kuweni na aibu basi atakidogo
 
JPM (CCM ) hawana mpinzani .Je, unadhani wapinzani watakuwa na hoja gani nzito ya kuwashawishi wananchi? Mpaka sasa JPM ameshatekeleza ahadi karibu zote. Je,baada ya miaka 4 iliyobaki atakuwa amefanya mangapi?
 
Laiti mngewajua watanzania wenzangu walivyo MUNGU tuu atusamehe.... Tatizo majipu wengi kuliko wasio na majipu.
 
Kama atagombea burundi hatuwezi kumchagua ila kama atagombea tz mapema ameshinda.
 
Cry me a river! Oh Tanzania the beautiful! So stupid and mild are the minds of your people that they will always choose CCM whenever choices are placed before them!
 
Kwa aina ya uongozi tulio nao sasa hivi, uongozi usiojali wananchi wake hata pale wanapopata majanga, uongozi usiowajali watumishi wake, uongozi usiowajali wananchi maskini, uongozi usiowajali wanyonge, uongozi usiowajali watoto wa maskini hadi kuwanyima mikopo, kuzuia ajira.

Uongozi uliojaa ghiliba, chuki, visasi vya kila aina, ni uongozi ambao wao ni bora kununua ndege kuliko kununua madawa mahospitalini, uongozi usiopenda kukosolewa hata kama wamekosea lakini ni uongozi unaopenda sifa binafsi kuliko utendaji kazi.

Hivi kuna Mtanzania atapanga foleni tena 2020 kuwachagua watu hawa.
Uliza hivii,ivi 2020 kuna Mtanzania ambae hataipigia kura CCM.
 
Hayupo Mtanzania mwenye akili zake timanu akaenda kupanga mstari kwa ajili ya kuipa kura ccm ambayo haina tofauti na kaburu
 
Hayupo Mtanzania mwenye akili zake timanu akaenda kupanga mstari kwa ajili ya kuipa kura ccm ambayo haina tofauti na kaburu
Huo utetezi kwa wanyonge,ni wanyonge gani mkuu ana refer?Au kuna tajiri anaweza kosa chakula akafa njaa?
 
Back
Top Bottom