HIV: Tulio nao tuwalinde Wengine na tuzingatie masharti

Duh! noma sana aisee ndio maana naogopaga kutoa Papuchi yangu ovyo ovyo..
tena wanawake ndo rahisi sana kuambukizwa kwasababu hata ukitumia condom, ukichapwa vizuri ukachanganyikiwa mwanaume anaweza kuchomoa condom bila wewe kujua akaendelea kavu. hapo bado sijui chumvini ambapo mate pia yanaambukiza, bado kiss etc. tuache uzinzi.
 
tena wanawake ndo rahisi sana kuambukizwa kwasababu hata ukitumia condom, ukichapwa vizuri ukachanganyikiwa mwanaume anaweza kuchomoa condom bila wewe kujua akaendelea kavu. hapo bado sijui chumvini ambapo mate pia yanaambukiza, bado kiss etc. tuache uzinzi.
Kondom inachomolewa haujui, upo dunia nyingne hahaha
 
Mitaani vijana wanachomekana nyama mbichi in short wamejisahau sana,ila ukweli HIV ipo na inakata sana mtaani hizi homa za ini sijui figo au pneumonia zinasingiziwa kutokana na zinaambatana na ukimwi.
Kwan homa ya ini lazima awe na hiv?
 
Hivi hivyo vipimo vinauzwa maduka ya dawa na vifaa tiba hapa bongo?

Naona vile vya ku-swap ndiyo vimejaa online.

Nafikiri nikimaliza chanjo ya Hepatitis B nitavihitaji ili nianze ukware! 😁!
 
Kondom inachomolewa haujui, upo dunia nyingne hahaha
sio kuchomoka tu, hata kupasuka. nilishachomoa sana ndomu na demu hajui kipindi niko kwenye hiyo dunia. hii ni kwasababu mwanaume huwa haenjoy ndomu kuliko kavukavu. kwani ukipigwa kifo cha mende nikajifanya huku chini naweka vizuri na mnavyogeuziaga sura huko, nikiweka hata ukijitikisa si nimeshaweka?, au chuma mboga unaputuka tu kitu kinaenda unapokuja kustuka tayari napiga moto na kwajinsi unavyojisikia vizuri unaweza kuamua kuendelea tu hata kama utahisi vingine. pia, ukishajojoa la kwanza kwenye ndom, la pili ukipigwa condom fake kwa kupigwa kavukavu kama ninavyosema jua kuna manii yanakuwa yamebaki kwenye mruja wa urethra ya mwanaume, yatakuingia, utapata sio ukimwi tu hata mimba unaweza.
 
Changamoto ni wale walio na HIV, huwa hawapo tayari kusema kuwa walishaukwaa hata kama anajua kabisa akizini na wewe atakuambukiza!
Kiufupi hakuna mtu aliyewahi kupata HIV kwa kujua kuwa anaenda kuukanyaga!
 
Back
Top Bottom