HIV: Tulio nao tuwalinde Wengine na tuzingatie masharti

Changamoto ni wale walio na HIV, huwa hawapo tayari kusema kuwa walishaukwaa hata kama anajua kabisa akizini na wewe atakuambukiza!
Kiufupi hakuna mtu aliyewahi kupata HIV kwa kujua kuwa anaenda kuukanyaga!
Daah wengine wapo wanajua hilo,kuwa huyu nikilala nae ninaweza kuupata
Kumbuka enzi za kigogo wa bank,ilijulikana anao na anahonga wadada,lkn wadada wa mjini wanaenda tu hawajali na misemo yao heri kuishi maisha ya raha kwa muda mfupi,kuliko kuishi maisha marefu yenye matatizo
 
Wapendwa naomba kuuliza unaweza chukua kipimo cha HIV baada ya kuweka damu badala ya kutumia ile dawa au maji yakupimia HIV ukatumia maji yakawaida ya bomba au kisima ukadondoshea ikatoa majibu???
 
Wapendwa naomba kuuliza unaweza chukua kipimo cha HIV baada ya kuweka damu badala ya kutumia ile dawa au maji yakupimia HIV ukatumia maji yakawaida ya bomba au kisima ukadondoshea ikatoa majibu???
Haiwezekan lazima utumie maji yake yale
 
Toa somo please
Lazima utambue vvu ukiipata utaanza kuona dalili baada ya wiki mbili na dalili huwa homa kukohoa kifua kubana rashes kichefuchefu mafua na kukosa hamu ya kula Kisha hizo dalili hupotea. Ila sio wote huonyesha au kupata hizo dalili.
 
Kuna kitu kinaitwa prep na pep yaani unaeza kutumia dawa za ARVs kabla ya kunyanduana na baada ya kunyanduana ila usivuke 72 hours.
 
Back
Top Bottom