Vp mawasiliano na wahusika ,umeyafanya?Wanajamvi habari ya j2.Naomba mnisaidie kwan toka jana mke wangu kaniambia tv haionyeshi kitu ni sauti pekee!Sasa leo naona tatizo liko palepale na nikafikir labda ni tv yangu tu?Nimejaribu na tv nyingine hapa kwangu still nasikia sauti tu,Je ni tatizo lao au ni mimi pekee?NAOMBA MNIJUZE
mpaka sasa bado sijafanikiwa na sielew tatizo liko wapi!!naomba msaada
Mimi hizo channel za ziada zenye startv yaani muvi tv, colors,cnn, emmanuel tv, nk. zinainyesha ila zina kisanduku katikati sijui nikitoe vipi? Hakitoki hata ukibonyeza exit. Msaada wakuu.
He wewe una bahati kwelikweli, bonyeza subtitle kitaondoka.
hivi itv wamejitoa startime?
Mimi hizo channel za ziada
zenye startv yaani muvi tv, colors,cnn, emmanuel tv, nk. zinainyesha ila
zina kisanduku katikati sijui nikitoe vipi? Hakitoki hata ukibonyeza
exit. Msaada wakuu.
Tanga hakuna itv, star tv, wala ch5 kwenyr king'amuzi chao. Yaani nchi hii bana sheria za serikali zinakiukwa halafu hao wanaamua kukaa kimya.
mkuu hebu tusaidie ulifanyaje? Nasitufaidikee?mimi sijazilipia lakini nazipata bure sasa