Kuna kitu hapa kimejificha IPO siku kitajulikana. Maskini kijana Saanane!!!!
wengi wanatilia shaka sana , timu bashiteNgoja tumalizane na bashite mengine haya yataji execute. Bashite anajua fika Beni alikopelekwa.
Usijali sana, anaweza kuwa futi sita kuelekea chini hapo ulipo!Baada ya kuwashuhudia vijana wa Bashite wakimshughulikia aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye, nimejawa na wasi wasi mkubwa kuhusu hatma ya kijana Bernard Focus Saanane!![]()
Kwamba hiki kitendo kimefanyika mchana kweupee in broad daylight na mbele ya waandishi wa habari ni kielelezo cha tulipofika kama taifa.
Moi alikuwa na Nicholas Biwott a.k.a Tatal man,na kenyata alkuwa na Charles Njonjo,Magufuli ana Mwakyembe na Bashite hao ndo Akina Hitler wa kizazi hiki.Adolf Hitler alikuwa na henchman anayeitwa Heinrich Himmler, Idi Amin Dada alikuwa na henchman wake anayeitwa Isaac Maliyamungu na historia ya madikteta wote ni kwamba wanakuwa na mtu anayetekeleza mambo kwa niaba yao. Huyo mtu haguswi, ukimgusa ni kama umechezea sharubu za simba.
Baada ya kuwashuhudia vijana wa Bashite wakimshughulikia aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye, nimejawa na wasi wasi mkubwa kuhusu hatma ya kijana Bernard Focus Saanane!![]()
Kwamba hiki kitendo kimefanyika mchana kweupee in broad daylight na mbele ya waandishi wa habari ni kielelezo cha tulipofika kama taifa.
Ben Saanane amefichwa na viongozi wa CHADEMA akina Mbowe......Mbowe hana tofauti na akina Adolf Hitler