Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 5,728
- 4,273
- Thread starter
- #41
😳😳😳😳Duh, sikuwahi kujua kwamba Mimi sio mtu; nitakuwa Nini sasa?
😳😳😳😳Duh, sikuwahi kujua kwamba Mimi sio mtu; nitakuwa Nini sasa?
Ahsante, karibu kwenye mada.Paka shume mkubwa
Mimi naona tatizo tulilonalo wengi ni kuchanganya itikadi na katiba za vyama na utawala wa nchi.Ndiyo, hivyo ndivyo ilivyo humu jf mpaka Sasa baada ya uchunguzi wangu wa kina. Hoja za upingaji na upondaji huja tu ikiwa Inategemea pale ccm juu amekaa nani na anasema au kufanya nini kinachotofautiana na mawazo au uelewa wa mwanaJF. Tofauti na hilo, wote humu ni wanaccm tu kwa hakika kwani wanaipenda haswaa.
Habari za gwajima na polepole na michango inayoendelea kuteremka humu kuhusu watu hao na furaha waliyonayo wapinzani, hususani chadema, vinathibitisha hivyo kuwa mioyoni mwao ipo ccm tu. Nimegundua ule ushindi wa 90+% ni sawa kabisa na sitoshangaa hata kidogo ikifika 100%. Usikimbilie kubisha kabla ya kuchunguza kwanza.
Uanzishe hiyo humu?!!! Mimi nilishapita hiyo, nipo kwenye kusoma la rohoni na sio kinywani. Utafiti wangu umefanyikia kwenye kuchunguza ya moyoni mwa wanaJFUsipate taabu, anzisha polls kati ya wanaoipenda CCM na ambao hawataki hata kuisikia CCM...utapata majibu ya uhakika! Kumbuka hii ni JF, si tume ya CCM.
Mimi nina hakika huna huo ujasiri wa kuanzisha kitu kama hicho
Ahsante, umemaliza vema kabisaMimi naona tatizo tulilonalo wengi ni kuchanganya itikadi na katiba za vyama na utawala wa nchi.
Katiba ya nchi ndio inayofuatwa na aliye madarakani na inampa upendeleo, yeye(rais) kuteua watu wengi ambao watamsaidia kwenye utawala wake kwenye maeneo mengi yakiwemo nyeti kama wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,mahakama, wakuu wa mikoa,wilaya, wakurugenzi karibu wote na makatibu wakuu karibu wote.
Hatujawahi Kuwa na raisi wa kutoka chama kingine zaidi ya CCM,,,ndio maana lawama nyingi tunazipeleka kwao, lakini hata ikitokea raisi akitoka chama kingine ataipenda katiba iliyopo ambayo itamrahisishia utawala wake.
Inawezekana kabisa lawama nyingi zinazoelekezwa CCM, ndio hizo hizo CCM itazielekeza kwa chama kingine kama CCM haitaingia madarakani uchaguzi wa 2025.
CCM imeweka kwenye ilani yake kwamba itafanya mabadiliko ya katiba na ni Imani yangu mabadiliko hayo yatafanyika 2029/30.
Ni Imani yangu pia ikitokea chama kingine nje ya CCM kikiingia madarakani 2025 huenda mchakato wa mabadiliko ya katiba wakayafanya 2035 labdakama hicho chama kitatoa raisi lakini wabunge wengi wakatoka CCM.
Hata hivyo tukumbuke hakuna katiba nzuri itakayofanya kila mwananchi aridhike na afurahie maisha,,,HILI NI JUKUMU LAKO...PAMBANA.
Usaidiwe wewe uliyekuwa hujui hiliKwa hio usaidiwe vipi?
Una tusi jingine kamanda utupie?!!Paka shume mkubwa
Ujauzito ulionao unakusumbua, ukijifungua utaacha hivyo sina haraka nawe.Tena paka shume la kike - ha ha ha ha
Wewe ni MJINGA, wakati wa chaguzi za ndani za CHADEMA mauvccm yote yalikua yanamahaba ya dhati kwa Mbowe ambae ni CHADEMA, JE NYIE MAMBOGAMBOGA YOTE PIA MLIKUA NI WANACHAMA CHA CHADEMA ?!!!Ndiyo, hivyo ndivyo ilivyo humu jf mpaka Sasa baada ya uchunguzi wangu wa kina. Hoja za upingaji na upondaji huja tu ikiwa Inategemea pale ccm juu amekaa nani na anasema au kufanya nini kinachotofautiana na mawazo au uelewa wa mwanaJF. Tofauti na hilo, wote humu ni wanaccm tu kwa hakika kwani wanaipenda haswaa.
Habari za gwajima na polepole na michango inayoendelea kuteremka humu kuhusu watu hao na furaha waliyonayo wapinzani, hususani chadema, vinathibitisha hivyo kuwa mioyoni mwao ipo ccm tu. Nimegundua ule ushindi wa 90+% ni sawa kabisa na sitoshangaa hata kidogo ikifika 100%. Usikimbilie kubisha kabla ya kuchunguza kwanza.
WanaCCMUnachofeli kukitambua ni kwamba;JF wengi ni WATANZANIA.
Nilijua tu...uthubutu huo uutoe wapi? Vya kunyonga unavipenda sana huku ukijua ni vya haramu, hebu jaribu vya kuchinja uvionje visivyo haramu utakasike.Uanzishe hiyo humu?!!! Mimi nilishapita hiyo, nipo kwenye kusoma la rohoni na sio kinywani. Utafiti wangu umefanyikia kwenye kuchunguza ya moyoni mwa wanaJF