Tena paka shume la kike - ha ha ha haPaka shume mkubwa
Tena paka shume la kike - ha ha ha haPaka shume mkubwa
Na wewe ni mmojawapo mkuu?!!! Tafadhali jibu 'ndiyo' Ili nipate ajabu la nane la Dunia mkuu wangu.Humu wamejaa great.thinkers wenye maono kataa wahuni
Oh, kumbe!! Na wewe ni mmojawapo wapo mkuu?!! Nijibu Ili nijue kama akili siku hizi ndo zimefikia hatua ya kudhalilika kiasi hiki.Humu sio kwamba watu ni ccm
Ila humu watu wenye akili timamu ni wengi
Ndio maana wako upande uliopo sahihi muda wote
Ahsante. Watu walio na mashaka na lissu ni sahihi kabisa kuwa nae sababu huyo ni puppet aliye 'live' kabisa.Kamaa ukifanya yale watanzania wanataka, ushindi huo ni lazima upate hata asilimia 99unapata.
Shida inakuja pale utakapofanya kinyume na matakwa ya watanzania na wao wanataka chama chao kifanye vizuri na si vinginevyo.
Upinzani bado hawajajipanga, upinzani mwaka huu ungekua kama ule wa 2015, upinzani wa bila Lowasa na Mbowe, wangebeba nchi mapema sana.
Lisu pamoja na kua mpinzani anaejitoa, watu wanamashaka na uzalendo wake. Lisu si kama Mrema wa NCCR Mageuzi enzi za miaka ya 1995
Nilichelewa sana kujua mkuu lakini kwa Sasa sihangaiki tena.Ulikuwa hujui hilo mkuu? Na sio JF tu hata nje ya JF watanzania wote ni CCM. Hakuna mtanzania anapenda kuona CCM dhaifu ndo maana kwa wakati huu kelele ni kubwa kutoka kwa wanaojiita wapinzani kutaka CCM iteue wagombea ubunge wenye sifa.
Okay, sawa endelea kusubiri mkuu sababu hilo lazima limtokee siku Moja kama wewe. Tusichokijua tu ni kwamba kati ya yeye na wewe nani litamtokea mwanzo au kwanza.JK Akifa nitajiunga CCM
Nami naizungumzia ccm ya TanzaniaUnachofeli kukitambua ni kwamba;JF wengi ni WATANZANIA.
Usipate taabu, anzisha polls kati ya wanaoipenda CCM na ambao hawataki hata kuisikia CCM...utapata majibu ya uhakika! Kumbuka hii ni JF, si tume ya CCM.Tofauti na hilo, wote humu ni wanaccm tu kwa hakika kwani wanaipenda haswaa.
Karibu sana.Nimeghaili safari yangu ngoja niketi sofani nisome maoni ya wachangiaji wa hii Nondo aise.
Kamanda hatujakuelewa hapa.Kwa hiyo lucas siyo CCM? Habubujikwi na machozi?utakuwa mda wake sahihi wa kutekwa
Umefeli tena.CCM ya vibaka.Nami naizungumzia ccm ya Tanzania
Umepiga lunch mkuu?!!!Ccm inategemea
Ujinga wa watanzania
TISS
POLICCM
Mahakama
Msajili wa vyama ( nyahoza na ofisi yake)
Nec
Bila hivyo chama hicho hakina uwezo wa kushindana na vyama vingine kwa hoja zenye ushawishi na za kueleweka mbele ya umma.
Chama hicho kikizidiwa hujificha nyuma ya hivyo vyombo nilivyotaja hapo juu
Yaani wote waliokuwa wanasema ni drama utekaji basi wasubiri zamu yao sasaKamanda hatujakuelewa hapa.
Rudia tenaLess than 2% ya Jf member ni CCM . The rest ni dawa ya CCM.
Okaaaaay, sawa. Ndiyo. Naam!!Yaani wote waliokuwa wanasema ni drama utekaji basi wasubiri zamu yao sasa
Hapana sijapiga. Uliza kingineUmepiga lunch mkuu?!!!
Chadema wana makesi kibao na wala hawana furaha wangekua wana furaha si wangekubali kuja october ila wamegomaNdiyo, hivyo ndivyo ilivyo humu jf mpaka Sasa baada ya uchunguzi wangu wa kina. Hoja za upingaji na upondaji huja tu ikiwa Inategemea pale ccm juu amekaa nani na anasema au kufanya nini kinachotofautiana na mawazo au uelewa wa mwanaJF. Tofauti na hilo, wote humu ni wanaccm tu kwa hakika kwani wanaipenda haswaa.
Habari za gwajima na polepole na michango inayoendelea kuteremka humu kuhusu watu hao na furaha waliyonayo wapinzani, hususani chadema, vinathibitisha hivyo kuwa mioyoni mwao ipo ccm tu. Nimegundua ule ushindi wa 90+% ni sawa kabisa na sitoshangaa hata kidogo ikifika 100%. Usikimbilie kubisha kabla ya kuchunguza kwanza.
Mpinzani nchi hii ni Mdude Nyagali tu ila bahati mbaya ndo ana matatizo ya akili na ukosefu wa busara. Kama Mdude angesaidiwa na chama chake jinsi ya kuongea kisiasa bila kauli chafu angekuwa poa sana kwenye upinzani.Kamaa ukifanya yale watanzania wanataka, ushindi huo ni lazima upate hata asilimia 99unapata.
Shida inakuja pale utakapofanya kinyume na matakwa ya watanzania na wao wanataka chama chao kifanye vizuri na si vinginevyo.
Upinzani bado hawajajipanga, upinzani mwaka huu ungekua kama ule wa 2015, upinzani wa bila Lowasa na Mbowe, wangebeba nchi mapema sana.
Lisu pamoja na kua mpinzani anaejitoa, watu wanamashaka na uzalendo wake. Lisu si kama Mrema wa NCCR Mageuzi enzi za miaka ya 1995