Hitaji la basic accounting software

Hitaji la basic accounting software

OPTIMISTIC

Senior Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
125
Reaction score
20
Salaam, nimeanzisha kampuni bado ni ndogo ila ningependa niwe nahifadhi rekodi kwa njia ya komputa means profoma invoice, tax invoice, receipt pamoja na delivery note. Nahitaji mtaalam wa kunitengenezea yafuatayo:
  1. Logo na heading letter ya kampuni
  2. Profoma, invoice na receipt niwe na uwezo wa kufanya editing na kuprint kazi hii ifanyike kwa njia ya komputa
  3. Uwezo wa kuzihifadhi kumbukumbu na kuziretrive nitakapo zihitaji
  4. Iwe pia na uwezo wa kubadilisha serial no.
KAZI HII ITAFANYIKA KWA MALIPO

Naomba kama kuna yeyote yuko interest kufanya kazi hii ninaomba aniPM then tutaanza kuwasiliana

Cheers,
 
Back
Top Bottom