jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,362
Una roho mbaya mpaka tuzo ya nobel inaandaliwa mshindanishwe na shetaniHalafu ukishaiona ndo iweje sasa?
Una roho mbaya mpaka tuzo ya nobel inaandaliwa mshindanishwe na shetaniHalafu ukishaiona ndo iweje sasa?
Ni namba ya Voda haina shida kuna uzi huku unatoa ufafanuzi wakeKuna namba hii
0754125125.
Mala nyingi naikuta kwenye simu yangu ikichepushwa ipokee simu zangu bila mimi kuchepusha(namanisha call divet).
Mala nyingi imenitokea, ilianza baada yaku... Mkulu kwenye uzi mmoja hapa jf. Kuwa makini mathinker wenzangu.
Hata hivyo kachelewa ila sio mbaya.Ukisikia Selasini mbunge wa Rombo alivyoongea kwa uchungu ni dhahiri vita ya kikanda na kikabila itaanza soon, najua sio vita ya kutumia silaha na kutoana damu, vita ya chuki za rohoni kati ya yule na yule
Asikudanganye mtu hali siyo shwariHiyo vita ipo akilini kwako tu mkuu, na ukaamua kuileta hapa jf, ila nchi iko shwari kabisa, raia tunaishi kwa amani na tunafanya mambo yetu. nyie ambayo maslahi yenu yamebanwa pambaneni na hali zenu. kamwe hatutawaunga mkono.
Hakuna umakini wowote.IIikuwa kipindi cha giza.Tz ndio inaanza kukucha sasa hivi. Giza ndio liliwaficha hata watu wasiojipanga. Plan nyingi tuu zinabuma zenyewe. Mwanga wa akili na mawasiliano sio rafiki sana kwa popo.Mbaya there is no going back. Asubuhi inakuja ghafla sana.Na ubaya wa nchi km Tz, ni ngumu sana ku establish mfumo wowote ukafanikiwa kirahisi. spectrum ni kubwa sana, kuna wengine wawe waoga au jasiri.Jinsi akili zao zinafanya kazi lazima issue zitibuke tuu.Na mwishowe kuna watu taa zitawawakia wakijisaidia stand.Ni kweli ila wa nyuma walikuwa makini zaidi japo nao waliacha alama za hapa na pale
Teh teh. Tatizo popo hawajui Tanzania inalindwa na mchanganyiko wa ujinga na akili kidogo. Watu wenye akili wanaweza kuwa majasiri ktk situations fulani ambzo ujasiri ndio survival .Watu wapumbavu ni km kondoo, unaweza watisha wakaanza kukimbia hovyo kwenda mbele na nyuma mwishowe.Wanakuzibia njia.Baadae wanakugonga unaanguka hapo lazma mjinga mmoja anaweza pata akili kuwa anakumudu.mshana jr imefikia hatua natamani nisingekua na elimu yoyote ya ung'amuzi wa mambo labda ningekua na amani maishani. Kujua mambo (tena ukajua yale wasiyotaka ujue) kunakuweka katika wakati mgumu sana. Unaweka maisha yako hatarini; maisha yanakosa ladha, yanakosa uhuru...unaandamwa na kihoro na hofu kubwa. Mshana unalipia gharama ya "kujua".
kanda ipi? ya kati au kaskazini? ya ziwa au kusini?Ukisikia Selasini mbunge wa Rombo alivyoongea kwa uchungu ni dhahiri vita ya kikanda na kikabila itaanza soon, najua sio vita ya kutumia silaha na kutoana damu, vita ya chuki za rohoni kati ya yule na yule
ni mtata sana! Anataka kuona watu wana maoni gani. Kwa kifupi ni kwamba watu wanachukizwa na hali isiyo ya kawaidaHuyu jamaa kuna conspiracy theory kuwa ni mtu wa system(pandikizi). Ila muda utaongea vizuri, niishie hapa!
alama za damu huwa hazifutikiNi kweli ila wa nyuma walikuwa makini zaidi japo nao waliacha alama za hapa na pale
what is deep?Fear creates HATE!
unaleta mzaha kwenye mambo mazito.Unataka uambiwe nini?Mshana jr nauza simu Samsung s3 150,000 / = tu nisaidie kupata mteja View attachment 603247
he is real a stroke manNi kweli umepatwa na stroke au ni jina tu?
HahahahahahaKatika hii video,mkulu alipoliongelea akasema "not to that extent" huku akitoa ishara za mikono,nirichoka kabisa,
Sasa nimeamua kuchukua mafunzo makali,
NAVY SEAL,Delta Force,Spetsnaz, unawajua hao,nipo na train nao!!!
Mshana Jr au nani!?Huyu jamaa kuna conspiracy theory kuwa ni mtu wa system(pandikizi). Ila muda utaongea vizuri, niishie hapa!
Wanaokaaga siti za mbele huwaga hawaelewi kabisa (joke✓✓✓)Nipo sit ya mbele kabisa