Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,841
- 831,094
- Thread starter
- #41
Na hii hali inanitesa kwakwelimshana jr imefikia hatua natamani nisingekua na elimu yoyote ya ung'amuzi wa mambo labda ningekua na amani maishani. Kujua mambo (tena ukajua yale wasiyotaka ujue) kunakuweka katika wakati mgumu sana. Unaweka maisha yako hatarini; maisha yanakosa ladha, yanakosa uhuru...unaandamwa na kihoro na hofu kubwa. Mshana unalipia gharama ya "kujua".