Hit squad: Picha imekamilika kuchorwa

Hit squad: Picha imekamilika kuchorwa

Kuna uzi uliwekwa Jana Member mpya.. Simkumbuki jina wala heading ya ule uzi lakini ulikuwa na picha za huyo Jamaa wa Nape.. Anayekumbuka ule uzi anisaidie kuupata
 
Nakupa kama zawadi
What did I told you, egnore the creature, he/she does not deserve your comment. Nilikuwa na watu UK July they mock him/her like hell. NY ndo sisemi. H/she is sick. Hajui wanaoandika wengine ni CCM damu na ni watoto wa mabalozi na wengine ni walengwa wa hii mipango. He is sick.
 
mshana jr imefikia hatua natamani nisingekua na elimu yoyote ya ung'amuzi wa mambo labda ningekua na amani maishani. Kujua mambo (tena ukajua yale wasiyotaka ujue) kunakuweka katika wakati mgumu sana. Unaweka maisha yako hatarini; maisha yanakosa ladha, yanakosa uhuru...unaandamwa na kihoro na hofu kubwa. Mshana unalipia gharama ya "kujua".
Wote wenye kujitambua wanalipia siyo mshana jr. tu ila time will tell. Tuna mtu humu bongo nikacomment kuhusu Masaki na uchaguzi wa 2015 akaja na majibu kuwa mimi naishi Manzese. Well those are the llikes of people you ignore, thanks God muda wa kukaa Bongo uliisha nimesepa. Tuwaombee wanaolengwa na kila aina ya dhahama ili waepushwe na shari hizo, Amen.
 
picha ndio kwanza inaanza ngoja nikachimbe dawa fasta nije ........usikalie siti yangu
 
What did I told you, egnore the creature, he/she does not deserve your comment. Nilikuwa na watu UK July they mock him/her like hell. NY ndo sisemi. H/she is sick. Hajui wanaoandika wengine ni CCM damu na ni watoto wa mabalozi na wengine ni walengwa wa hii mipango. He is sick.
Thanks lovely sissy
 
Picha la leo kali jina la picha Bongo, Sterling Wasio julikana wanapiga ohh!!
 
Mwanzoni tuliona mistari mistari tu... Na kwa hakiaka hatukujua kama ni mchoro wa nini, na umeanzia wapi.... Lakini akapotoea Ben Saanane,! Ya kamanda Mawazo na Mwangosi yanajulikana yako wazi kabisa

Picha ikendelea kujichora taratibu, zikaja maiti za ruvu.. Mambo yakazidi kusonga.... Watu wakawa wanatishiwa maisha live, kufuatiliwa na kudukuliwa mawasiliano yao

Picha ikaanza kujitokeza formation yake... Tuliodhani ni picha tu ya kawaida ya pundamilia tukabaki midomo wazi baada ya kugundua ni lipicha litishalo sana la dubwana kubwa lenye maguvu mengi na katili kabisa

LIssu akamiminiwa risasi za kutosha, Mungu ni mwema... Lissu kasalimika japo kabaki na majeraha makubwa. Kalamu ya picha letu tuliiona wino wake na wachoraji wake siku Nape alipotolewa cha moto live.....

Picha letu limekamilika sasa bado kutia sahihi tu na kukoleza rangi
Kila kitu kiko hadharani sasa waliongozwa na ukatili wakasahau weledi katika kutimiza ukatili wao.. Wameacha alama kila walikopita na picha imekamika... Tukae mkao wa kuiona picha yetu katika uhalisia wake
Tulia usitake kuvuruga game tuna mtaka mtumaji , mpangaji na wakamilishaji sio wakamilishaji tu...
 
HATA kama picha halisi tutaletewa bado waliochorwa kwenye hiyo picha ndo wenye nguvu so sidhani kama kuna impact sana maana watipoteza hiyo picha na.kuipuuzia
 
mshana jr imefikia hatua natamani nisingekua na elimu yoyote ya ung'amuzi wa mambo labda ningekua na amani maishani. Kujua mambo (tena ukajua yale wasiyotaka ujue) kunakuweka katika wakati mgumu sana. Unaweka maisha yako hatarini; maisha yanakosa ladha, yanakosa uhuru...unaandamwa na kihoro na hofu kubwa. Mshana unalipia gharama ya "kujua".
Kwa utawala huu bora uendelee kutokua na Elimu mie nakwambia ni rahisi kua gaidi.. maana mambo mengi hayupo sawa na haki za watu zinakandizwa nje nje na siku hizi kuna kamsemo tuwe wazalendo wakati mnakaangwa kwa mafuta yenu!!ni bora uwe huna elimu uishi Kama poyoyo kulikua akili ya kung’amua kinachoendelea! Angalia Manji wanajitahidi kila njia kumfirisi mungu anawaumbua! Je wewe mkakasi itakuaje!?
 
Kuna namba hii
0754125125.
Mala nyingi naikuta kwenye simu yangu ikichepushwa ipokee simu zangu bila mimi kuchepusha(namanisha call divet).
Mala nyingi imenitokea, ilianza baada yaku... Mkulu kwenye uzi mmoja hapa jf. Kuwa makini mathinker wenzangu.
 
Back
Top Bottom