Hahaha. ...naomba nikubaliane tu kuwa tuna tofauti ktk kukipenda kitu.
Wimbo gani huo mbaya hivyoooo. ....
Kubwa nililoona hapo ni kuwa na wachezaji wengi wa kwaito kama tunavyofanyaga harusini, kingine ni hayo masuluali kama mifuko ya kukamulia machicha baasi!
Hongereni mliokunwa [emoji12] [emoji13]