Hit song: Unconditionally BAE

Dah mkuu umeniacha hoi umenifanya nirudie nirudie kusoma tarehe ya kuandikwa hii thread maana hiyo nyimbo unayoisema mpya imetoka miezi mitatu iliyopita
 
Napenda zaidi pale Kiba anapoimba,

"and I beleiveeee, nitakuwa na wewe mwanzo mpaka mwishooo" kwa mahadhi ya sauti ya kupanda na kushuka..!!
 
Dah mkuu umeniacha hoi umenifanya nirudie nirudie kusoma tarehe ya kuandikwa hii thread maana hiyo nyimbo unayoisema mpya imetoka miezi mitatu iliyopita
Hapana sio miezi mitatu tuu the earliest ilikuwa February 2016 kwahiyo piga mahesabu hapo halafu mimi kwa mara ya kwanza nikaisikia April, kisha leo nikaandika post yake
 
Wamebaki oooh wa zamani sijui nini.
Kwani hata ukiwa wa zamani itabadili nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unconditionally acha kabisa hii ngoma
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…