Historia ya neno Msela na Baharia

Baharia ni mwanaume anayeweza kudai deni kwa mwanamke.
Wewe si Baharia maana nasikia huwezi kumdai mwanamke
 

Attachments

  • FB_IMG_15680362704111678.jpg
    FB_IMG_15680362704111678.jpg
    25.8 KB · Views: 14
Baharia ni mwanaume mjanja, makini mwenye uwezo wa hali ya juu kihudumia familia yake na kila kitu anachohitaji mwanamke kama kihondomola nk.
 
Mabaharia ni watu wa kanjanja michongo na deals ili aweze kuishi. Ukimuingia vibaya baharia lazima akupige. Msanii fulani kuonekana mtu wa hadhi fulani na connection nyingi za hela kama vile madalari wa issues zenye maslahi
 
Moja ya sifa ya Mabaharia.
 
Baharia marufuku kutumia tigo

Hiki ndio kifungu mama. Baharia harusiwi kutumia tigo, wala kutengeneza mazingira ya kutumia tigo. Kifugu cha kwanza A.. kina weka msisitizo kukiuka hilo sharti moja kwa moja unakosa sifa ya kuwa baharia.. na unahamishwa hadi chama cha CCM..🙈🙈🙈
 
Back
Top Bottom