google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,629
- 13,694
kama marinda wamekuachia move on
Mkuu Kuna huo msemo umekuwa vocabulary nndaah inaonekana hicho kibuti ulichopigwa si cha mchezo mpaka umeamua kuandika kimang'ati mkuu
unstoppable jombiikama marinda wamekuachia move on
Thinking twice mwambaNimepata taabu sana kuelewa ulichoandika, ila pole inaonekana umefanyiwa unyama wa kihisia.
hahaha 😂😂😂😂😂😂daah inaonekana hicho kibuti ulichopigwa si cha mchezo mpaka umeamua kuandika kimang'ati mkuu
Aiseeeeeeee
Watu weusi wanazani ngono ni sifa nzuriKama kawaida ya mabaharia, ila huyu kaamua kuweka wazi.
Jamaa anakili kutembea na wanawake 1000 ndani ya miezi sita tu, halafu kwa kukutana na wanawake wanne kwa wakati mmoja.
Uwenyekiti wa chama anastahili yeye, hata bila kampeni mchagueni tu kwakweli
Mwongo sana 6 women per day for six month, 1000/(6*30)=5. 6=6Kama kawaida ya mabaharia, ila huyu kaamua kuweka wazi.
Jamaa anakili kutembea na wanawake 1000 ndani ya miezi sita tu, halafu kwa kukutana na wanawake wanne kwa wakati mmoja.
Uwenyekiti wa chama anastahili yeye, hata bila kampeni mchagueni tu kwakweli
Katoto haka KAONGO kwanza hakajui kanachokisemaMwongo sana 6 women per day for six month, 1000/(6*30)=5. 6=6
Marufuku baharia kusugua gagaMarufuku Baharia kupika chapati za kumimina
Marufuku Baharia kupika Chapati za Kusukuma
Marufuku Baharia kupika wali nazi
Marufuku Baharia kukuna nazi
Ongeza marufuku nyingine kwa mabaharia
Cc
Beira Boy
General Mangi
Cardiovascular
@Deepond
Megapixel