Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,721
- 208,993
Kuna siku nilienda Barber shop moja hivi iko pale mitaa ya fiber Hazchem plate bwana nimeingia nikamkuta mbaba anafanyiwa massage ya kichwa, masikioni hadi shingoni,
Walitumia muda mrefu mno mpaka nikashangaa, nimeingia nimemkuta lakini mpaka natoka mwamba hajamaliza kufanyiwa massage. Nilisikitika tu nikasema pale Abdallah kichwa wazi lazima aamke