Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Nilishaga wahi kupenda demu mmoja yaani nilizama mazima kabisa na kujiaminisha kuwa napendwa.

Alicho kuja kunifanyia sitasahau maisha yangu yote

Kawa chanzo cha mimi kuwa kitombi na kutokupenda kwa dhati/kuwa na tahadhali ya mguu ndani mguu nje.
 
Leo nimesikitika na kuumia sana kuona bado kuna wanaume wanapenda kwa moyo wote na kuwaamini wanawake[emoji24][emoji24][emoji24]kiasi kwamba siku akiachwa anatamani kufaa kabisaa na michozi anaimwaga siku nzima[emoji24][emoji24][emoji24]
Tuache ubwege mabaharia mpende mwanamke kwa kiasi kidogo yani hata akisema its over unachekelea amepunguza mzigo[emoji23][emoji23][emoji23] kesho unavuta chombo kipya kikali zaidi.View attachment 1199241
Mkuu umeoa au?
 
Nilishaga wahi kupenda demu mmoja yaani nilizama mazima kabisa na kujiaminisha kuwa napendwa.

Alicho kuja kunifanyia sitasahau maisha yangu yote

Kawa chanzo cha mimi kuwa kitombi na kutokupenda kwa dhati/kuwa na tahadhali ya mguu ndani mguu nje.
[emoji23][emoji23][emoji23]huo ndo uwanaume kumpenda mwanamke kama mama ako ni ufalaa
 
Baharia hatupendi tunatafuna nakuepa tukiuelewa mzigo tunauchukua lkni nasisitiza hautakiwi kupenda
IMG-20190904-WA0008.jpeg
 
Dah kuna jamaa yangu kawa chizi kabisa, saiv anaokota makopo kisa dem.
Story iko hivi: baada ya dem wake kupata mimba( dem tulikuwa naye form 3, mshikaji form 2), mshikaji akaamua kuacha shule na wakaoana na demu, na jamaa aliona kawin maana dem alikuwa anagombaniwa sana na washkaji, na alikuwa mzuri sana.
Baada ya kujifungua mshikaji akamlea yule mtoto akijua ni wake na akijua mke anampenda yeye. Mtoto alipofika miaka 2, akaja rafiki yake mwingine na familia yake akidai kuwa yule ni mtoto wake ma kweli wana fanana na naye. So jamaa akawa hana ubishi zaidi ya kuomba alipwe pesa ya kumtunza yule mtoto, ambayo alipewa na akabaki n mke wake.( at that point haikuwa imemuuma sana)

Baada ya muda mke naye akaondoka akaenda kupanga geto kitaa. Hapa ndipo jamaa alianza kudata maana alimpenda sana yule demu. Alijaribu kuoa mwanamke mwingine lakini akashindwa kuishi naye kwa sababu ya mawazo ya mke wa kwanza.

Taaratibu akaanza kudata, na saivi anaokota makopo kabisa. Labla haja data, alikuwa akilalamika kila siku kuhusu wanawake na kutusihi tusipende sana mwanamke. Ao sad to my friend
 
Una jua Mungu hakukosea kuwafanya wanawake kuwa wengi. Huyo bwege acha aendelee kuokota makopo hata karne mbili zijazo.
 
Dah kuna jamaa yangu kawa chizi kabisa, saiv anaokota makopo kisa dem.
Story iko hivi: baada ya dem wake kupata mimba( dem tulikuwa naye form 3, mshikaji form 2), mshikaji akaamua kuacha shule na wakaoana na demu, na jamaa aliona kawin maana dem alikuwa anagombaniwa sana na washkaji, na alikuwa mzuri sana.
Baada ya kujifungua mshikaji akamlea yule mtoto akijua ni wake na akijua mke anampenda yeye. Mtoto alipofika miaka 2, akaja rafiki yake mwingine na familia yake akidai kuwa yule ni mtoto wake ma kweli wana fanana na naye. So jamaa akawa hana ubishi zaidi ya kuomba alipwe pesa ya kumtunza yule mtoto, ambayo alipewa na akabaki n mke wake.( at that point haikuwa imemuuma sana)
Baada ya muda mke naye akaondoka akaenda kupanga geto kitaa. Hapa ndipo jamaa alianza kudata maana alimpenda sana yule demu. Alijaribu kuoa mwanamke mwingine lakini akashindwa kuishi naye kwa sababu ya mawazo ya mke wa kwanza.
Taaratibu akaanza kudata, na saivi anaokota makopo kabisa. Labla haja data, alikuwa akilalamika kila siku kuhusu wanawake na kutusihi tusipende sana mwanamke. Ao sad to my friend
Mungu amfanyie wepesi ila kupenda demu kupitiliza ni umama kwanza mwanamme anaekaa na mke moja bila mchepuko au mwanamme anaekaa na mpenzi moja huyo ni fara
 
Back
Top Bottom