Historia ya ndoa yangu

pooole mie mume wangu ananuna hd anataka kupasuka mm namtazama ila am exosted nataka kuchukua maamuzi magumu kila mtu achukue 50 zake
 
mi siamini kama wewe miss neddy ni msichana lazima utakuwa ni mmama mtu mzima wa busara yaani umetoa ushauri wa busara sana ningejua uko wapi ningemleta mke wangu umpe ushauri maana na yeye ni mamaa kununa

hahaha ahsante mi bado mbichii najikongoja kwenye hii sekta ila nadhani hata huko uliko wazee wenye hekima hawakosekani mpeleke akapate semina upyaa jinsi ya kulea Ndoa nadhani kajisahau tu
 
hivi mtu akiuudhi kununa ndo suluhisho? Mume hanuniwi ulikosea tangu mwanzo kama kakosa kaa nae chini mwambie 1,2,,3 sijapenda baada ya hapo kama anajirekebisha maisha yanasonga kama kawa na mwanaume asiechepuka hapa duniani ni moja ya kumi baada ya kugundua anachepuka usingenuna ungesuluhisha sidhani kama mngefika mahakamani

Wanawake wote wanatakiwa kuwa hivi.....
 
Asante sana
Haustahili pole yangu, hautambui kuishi na mume, na kwa haraka haraka nimeshakusoma wewe ni mkorofi. Haiwezekani umnunie mume na utake aombe msamaha kwa umbea uliosikia kwenye saloon zenu. Umekuwa kero kwake ndo maana kakukimbia. Wanawake wengi ni wapuuxi sana na wewe ni mmoja wao.
 
hahaha ahsante mi bado mbichii najikongoja kwenye hii sekta ila nadhani hata huko uliko wazee wenye hekima hawakosekani mpeleke akapate semina upyaa jinsi ya kulea Ndoa nadhani kajisahau tu

uko vizuri mama
 
ili ndoa iwe salama ni lazima mwanamke awe ndo kipoozeo moto unapokuwa mkubwa lakini mwanamke akiwa petroli na ugomvi unapotokea anaimimina ndoa hiyo itakufa tu au mtapeana UKIMWI tu.WANAWAKE siku hizi wamesahau sana kuwa wao ni wanawake wanajaribu kushindana nasi hamtaweza ngo sanasana utazalishwa tu wanawake wenzio wanaojua kubembeleza wanamfaidi mumeo.NIWASHAURI WANADADA NA WANANDOA WANAWAKE MUME NI MFANO WA........ HIVYO MUHESHIMU AKIKUFANYIA KOSA ONGEA NAYE TARATIBU NA MPE USHAURI KWA KOSA ALILOFANYA NAYE ATAUMIA MOYONI MWAKE NA KUTAMBA NA KUFURAHI NA KUJIVUNA NINA MKE NA SI LIMWANAMKE. SISI HATUTAKI WANAWAKE WANAOPIGA MAKELELE TU AMA KULIA AMA KUFOKA TUNATAKA WANAWAKE WAPOLE NA WANYENYEKEVU
Bila Mungu hayo unayosema HAYAWEZEKANI.Hata ukikesha unajishusha sana sana utaonekana mjinga fulani.Mwanadamu siku zote hanaga shukrani.Jema kwake baya na baya ndo linafuta mema yote.
 
umenchekesha sana
tena huyo anao wa baba mmoja anaolewa kabisas

Si ndio hapo, kama huyo wa watoto sita aliolewa sembuse huyu wa watoto wawili. Tena kuna wifi yangu mmoja naye anaolewa soon ana watoto wawili. Mumewe alifariki!
 
duh!!! wanawake tuna tabu!!!!! jehanam tunaianzia hapahapa duniani. any way kesha ukiomba hakuna liclowezekana kwa mungu. papuch funga na kufulhata akijirud ucmpe mpaka mpime. jipe moyo mungu ana makusudi yake.
 
Labda nimechelewa kiushauri lakini umechangia kuharibu ndoa yako. Kununa ni drama za kitoto, ingebidi umwambie ukweli kuwa anatakiwa akiri makosa yake .....

communication communication ni kitu muhimu sana yaambasad
 
Back
Top Bottom