Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,711
Napita....
Sijaolewa mie
Usipite bila kukaguliwa...Shemeji hajaahamia kwako kweli?
Napita....
Sijaolewa mie
Asante,kwa upande wangu naona hakuna agano tena,kama tayari ameshaondoka ni kwamba agano keshalivunja yeye,tulivyoapa pale kanisani
Aaaaah NK vile havinuniani....nyie nuneniiii vyenyewe vinachekeana...ukute watoto wamepatikana katikati ya mnuno....
Usipite bila kukaguliwa...Shemeji hajaahamia kwako kweli?
simama...
nataka nkuoe
Akhaaa....ulimwengu ushanitia dole....ndoa nitaikuta akhera.
Hahhaah.....wala hayuko kwangu jamani.
Ila ningekuwa mimi, dawa ni kumtafutia ki-serengeti boy halafu nalala nacho humohumo ndani, ye si kamwaga mboga, mie nabinua mkeka kabisa
Ushauri wangu (japo wanaume hawataupenda) ni kuwa jipende kupita maelezo...
Kama mwili umebadilika sababu ya watoto fanya mazoezi...
Yani jipende kweli kweli...
Tafuta ela...kuwa independent..tena hata ela ya watoto usimuombe...lakini omba talaka ili uwe huru
Who knows unaweza pata partner wa kumalizia siku zilizobaki duniani...
Usikubali partner kijana (sharobaro)...wala mume wa mtu...tafuta alofiwa na mke...ila mkapime afya...
Wanaume wengi jeuri yao ni kuona wake zao wamezeeka sababu ya kuwa na watoto...
Kuwakomoa ni kuwaonyesha kuwa uzee mwisho Msata...
Haya kama hayuko kwako pita salama...
Hivi unawajua wanaume vizuri? Anaweza kukupiga bisu la koromeo...kama anampenda basi amsubiri...manake mwenda tezi na omo marejeo ngamani....
Au kama vipi mwambie akutafute umpeleke Tangaaaa akampige Zongo...

hahha uko mme mmoja wake 75, utaweza kushare dushe wewe
Kim nana katika vitu nisivyoweza kuvumilia basi hiko ni kimoja wapo.
yaani ananichunia miaka mitano nami namuangalia tu.
Sina hamu,sina ashki au mie wa baridi?
....Mara nyingine tukifuata mafunzo tunayopewa huko kwenye kitchen party....tutaishia kuletewa wenzetu ndani ya ndoa.
Mambo ya Tanga siyawezi,bora niwe peke yangu
Ila nawashangaa sana wanaume wanaoununa...hivi mwanaume unanunaje?
Unless mwanamke ashindwe kutofautisha
mnuno na space...manake wanaume wengi due to superiority complex hawapendi kuomba msamaha hata iweje....atachofanya ni kukupa space ili upone majeraha...
Kwa hiyo we umenuna na yeye anakukaushia tu ila hajanuna kimoyo moyo anaogaopa na anajua kakosea, na hii midomo yetu anajua akikuongelesha atapata jibu zitoo...
Ila hii ya miaka mitano ni kalii...
Usiogope Mamie tunampiga kizongo cha jero tuu (just kidding)
Me naungana na NK, Anza kujipenda, pendeza ung'are....na huyu mchina anavyookoa, ushindwe wewe tu....halafu usimuombe hata senti.
Akiona unapendeza atakupa pesa bila kuombwa na wivu juu...akikuona uko mwayangu mwayangu atajiona mwambaa coz kafanikiwa kukuzeesha....
Ila hata ukipendeza mnuno uendelee, sio tena akija unamuachiaa....aishie kula ugali kwa picha ya samaki hadi ashike adabu...
Pole
Kama kasepa live your life.....