xfactor
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,511
- 1,290
hivi mtu akiuudhi kununa ndo suluhisho? Mume hanuniwi ulikosea tangu mwanzo kama kakosa kaa nae chini mwambie 1,2,,3 sijapenda baada ya hapo kama anajirekebisha maisha yanasonga kama kawa na mwanaume asiechepuka hapa duniani ni moja ya kumi baada ya kugundua anachepuka usingenuna ungesuluhisha sidhani kama mngefika mahakamani
Upo sahihi ila huyu Mwanaume mwenzangu kazidi aisee(kama haya yasemwayo kweli). Yani unafumaniwa halafu una nuna wewe,duh! Mbaya zaidi unanogewa mpaka hela ya matumizi ya watoto hutoi!!