Historia ya Mzee Kipusa

Historia ya Mzee Kipusa

Mi nakushauri sana achana na hilo wazo la kujitoa uhai kuna kitu potential sana nakiona kwako.

Mkuu usikubali kufa kizembe humu kuna wataalam wengi kama alivuoshauri mdau hapo juu muone mshana jr inbox naamini atakupa ushauri sahihi wa namna ya kutoka katika hili janga pia kama kuna yeyote mwingine mwenye msaada wa hili nadhani amsaidie huyu mdau atakuwa amefanya jambo la maana sana maana anahitaji tu kufunguliwa vifungo alivyonavyo
Vipi kama akiona kesho kwenye media nimefariki...je ata regret alichocomment?

Cause my mind has accepted death already.

Note: kuna wakati nilipitia wakati mgumu sana ...sijaandika kisa hicho huko juu....

Nakumbuka nilienda tegeta kwà ndevu nikanunua sumu kali sana kwenye maduka ya pembejeo.

Nikarudi home , nikanywa ile sumu....nikaanza kutokwa jasho jingi sana....huku nimejiandaa kufa kabisa...nilikua nimeweka Biblia kifuani pamoja na KATIBA ya Tanzania.

Nilitokwa jasho jingi sana ....baada ya masaa mawili nikaona sijafa , nikamwambia Ndugu aliyekua akininyanyasa anipeleke hospital nimekunywa sumu..

Nikapelekwa IMTU hospital...nikawekewa drip kadhaa.....kesho yake nikatolewa.

Nikaondoka kwà yule Ndugu , mpaka leo sijakanyaga kwake. Nilinyanyasika sana.
 
Naomba elimu kidogo ya hapa

Chukua kalamu na karatasi , ...weka title ya topic au kitu unachotaka kukijua.....then utashangaa kuona vitu vinashuka tu. Just like that.
This is a forbidden knowledge.

But kiufupi....lazima uwe umexperience the so called " bing bang" in your eyes........

Note: if your eyes has never seen the light , how could you determine if you are in darkness?

# pls don't ask me these kinda questions...
d3j6xjg-b1689467-e3ef-4ddf-9bf2-48f6aa2eeba0.gif
 
Haufanyi kwa malengo bali kwa mazoea
My friend , you can say it all...but adui anajua na Huwa anashangaa sana nikivuka mitego yake...Mimi ningekua nimeishakufa kitambo sana Ndugu.

Nimenusurika kufa mara nyingi sana...ni Mungu tu. Na sijui ana maana gani kunipitisha njia hii.
 
Mi nakushauri sana achana na hilo wazo la kujitoa uhai kuna kitu potential sana nakiona kwako.

Mkuu usikubali kufa kizembe humu kuna wataalam wengi kama alivuoshauri mdau hapo juu muone mshana jr inbox naamini atakupa ushauri sahihi wa namna ya kutoka katika hili janga pia kama kuna yeyote mwingine mwenye msaada wa hili nadhani amsaidie huyu mdau atakuwa amefanya jambo la maana sana maana anahitaji tu kufunguliwa vifungo alivyonavyo
Natanguliza shukurani
 
Ni dhahiri kwamba umefungwa katika nguvu za giza (uchawi). Ushauri wangu tafuta mtumishi wa Mungu wa ukweli akufanyie maombezi/dua ufunguliwe. Kumbuka ni mtumishi wa Mungu wa ukweli, sio maarufu. Tafuta wale ma underground ambao hawajulikani lakini awe powerful. Kaa nae kama mwezi mzima hivi utaona mwanga.
 
Kubali shida kama zinakuua zikuue lakini siyo kuzisaidia kukua kwa kujiwahisha utakuwa umeudhalilisha sana umwamba wako mkuu
Ni kweli. This situation is very tough my friend. Very tough & tight!
 
Ni dhahiri kwamba umefungwa katika nguvu za giza (uchawi). Ushauri wangu tafuta mtumishi wa Mungu wa ukweli akufanyie maombezi/dua ufunguliwe. Kumbuka ni mtumishi wa Mungu wa ukweli, sio maarufu. Tafuta wale ma underground ambao hawajulikani lakini awe powerful. Kaa nae kama mwezi mzima hivi utaona mwanga.
My friend .....hayo yote nimefanya....kwà wakubwa na wadogo pia. Kiufupi, nimetest kufanya mambo mengi sana Ndugu.
 
Nimesema siamini waganga kwasababu:-

Niliwahi kupelekwa kwà waganga 3 times....na hakuna kilichofanyika. Mshana Jr

1. Kuna mganga aliniambia nipeleke kondoo....nikaenda nae, akachinjwa...nikafanyiwa kisomo....nakumbuka kulikua na ndimu kibao...sindano rungu kibao....

Kiufupi, ilipigwa dua kwà muda mrefu sana. Nikaambiwa KILA kitu kitakaa Sawa.

Usiku ule baada ya tiba...nikaona mtu kwenye njozi kabeba briefcase nyeusi ...na Mimi nilikua nimebeba ya rangi ya kijani.....akaniambia tubadirishane...achukue yangu , Mimi nichukue yake...nikakataa. Nikastuka usingizini.

Kumstua yule mtaalamu nilivyoota...akasema ungempa tu. Aah nikaona hii sio kweli bhana!!!

2. Nilipelekwa kimbiji dsm....mchana wa saa saba nikakalishwa kando ya bahari ya hindi....nikaanza kusomewa dua....ile mtaalamu anamaliza kusoma tu....asee wimbi la maji sijui lilitokea wapi likaja na kupiga lile eneo tulilokua tumekaa....

Yule mtaalamu akaanza kushangaa....na kuniuuliza...UPYA...wewe ni nani? Unatoka wapi?

3. Kuna maza niliwahi pelekwa.....akanifukiza midawa....piga ramli...na vidawa kidogo...hakuna matokeo yeyote.

So kiufupi , siwaamini hao jamaa
 
Back
Top Bottom