MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,971
- Thread starter
- #81
AminaUfe salama.
AminaUfe salama.
Sure. AmenDah! Mkuu jinsi unavyo reply comment unaonyesha dhahiri unamengi sana kifuani. Haya ulioshare nasi ni nutshell tu.
Ila Mungu ni wa wote brother, usichoke kuomba!
Effect za yoga ni zipi? Na sisi tujifunze mkuu.Siwezi kufanya Yoga...., cause najua side effects zake.
Mimi nafanya meditation kama wafanyazo viongozi mfano :- Mwalimu Nyerere....au walizokua wakizifanya mitume na manabii...
Chukua kalamu na karatasi , ...weka title ya topic au kitu unachotaka kukijua.....then utashangaa kuona vitu vinashuka tu. Just like that.
Ni rahisi sana kuwa attacked na kundalini spirit. ( That old ancient serpent )Effect za yoga ni zipi? Na sisi tujifunze mkuu.
Unahitaji kujielimisha mkuu.Ni rahisi sana kuwa attacked na kundalini spirit. ( That old ancient serpent )
Insteand of Holy spirit ( advocate ) or Holy Ghost ( counselor)
Umeandika vitu ambavyo nimevisoma between the lines ..mpaka machozi yamenilenga.Mkuu nimesoma stori yako na comments za watu na replies zako zote nikiri kama hautungi stori kuna kitu ambacho si cha kawaida kinakuandama.
Ila kwa uwezo ulionao wa maono naamini ukijipa muda wa kukitafakari utakipata hasa shida ilipoanzia.
Nimeona kuna mdau mmoja amekuomba muonane pm naamini kama yuko serious atakupatia nadhani mwanga maana ameonyesha pia anakufahamu.
Kiukweli kwenye hii dunia kuna watu wanapitia mambo mengi magumu sana japo wana vitu adhimu sana kama uliweza kuota au kuona mambo makuu wakati wa JPM sijajua kuna shida gani hata watu wa idara ya usalama hawakukuchukua kusaidia eneo la ulinzi wa taifa hili.
Ni kama pia unakata tamaa ya kuishi mimi nikusihi mkuu hakuna sababu yoyote ya kujidhuru pambania maisha yako naamini kwa uwezo wako utapata tu suluhu.
Mwisho swali la kizushi samahani lakini naomba kujua msimamo wako juu ya bandari zetu na hatima ya taifa hili kwa siku hizi za karibuni na mambo yanavyokwenda.
Niliwahi kuifuatilia sana....but my spirit haikubalini nayo hata kidogo.Unahitaji kujielimisha mkuu.
Umeandika vitu ambavyo nimevisoma between the lines ..machozi yakanilenga.
Kuhusu bandari...Mimi ni Mzalendo. Kama una akili na utashi , unaweza kujua jibu la Mzalendo linaweza kuwaje. Cause bandari ni issue inayoigusa Nchi pamoja na Ardhi yake.
Ahsante sana mkuu!!Umeandika vitu ambavyo nimevisoma between the lines ..mpaka machozi yamenilenga.
Kuhusu bandari...Mimi ni Mzalendo. Kama una akili na utashi , unaweza kujua jibu la Mzalendo linaweza kuwaje. Cause bandari ni issue inayoigusa Nchi pamoja na Ardhi yake.
Huo ndo ukweli wenyewe yuko mtu anatembelea nyota yakeMmh historia yako inafikirisha sana lakini kwa mtazamo wangu kuna mahali huko sekondari kuna watu walichungulia nyota yako wakaona nguvu yake na kuamua kukupiga na kitu kizito
Sent using Jamii Forums mobile app
AminaAhsante sana mkuu!!
Mi nadhani unahitajika kuvumilia kwa changamoto unazopitia ila mi naamini zinakuimarisha kwa jambo fulani kubwa mbele.
Usikate tamaa na wala hakuna haja ya kujiua au kutamani kufa maana hata ktk hilo pia hakuna suluhisho. Kwakweli ningekuwa na namna ningekusaidia hata kukipatia ajira sema na mimi ni walewale tu wasiona bahati nafasi zimekaliwa na watu ambao wengi wao hawana huruma kwa wahitaji wanajifikiria wao tu na familia au uzao wao
Usikae kizembe una gundu na kuna mtu aliiba nyota yako chukua hatua acha unyongeNiliwahi kuifuatilia sana....but my spirit haikubalini nayo hata kidogo.
Nikifa ataendelea kuwa nayo? Na je nifanyeje Ili iweze kurudi?Huo ndo ukweli wenyewe yuko mtu anatembelea nyota yake
Nipe Elimu...natokaje hapaUsikae kozembe una gundu na kuna mtu aliiba nyota yako chukua hatua acha unyonge
You're not serious with this comment! I think you're just kidding! That's my thoughtUfe salama.
Mcheki mshana pm atakupa maelekezo usikubali hio hali iendeleeeNipe Elimu...natokaje hapa
Vipi kama akiona kesho kwenye media nimefariki...je ata regret alichocomment?You're not serious with this comment! I think you're just kidding! That's my thought
ThanksMcheki mshana dm atakupa maelekezo usikubali hio hali iendeleee