MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,971
- Thread starter
- #301
Au sioWewe ni Mfalme au Mkuu...
Wafalme huwa wanapitia mapito makubwa sana, unatengenezwa kuja kubeba Taifa hivyo unatakiwa ushinde hizo vita zote...
Hayo unayoyaona kwenye ndoto yatakuja kutimia...
Usiogope! Wewe ni Shujaa...
Unikumbuke ukiwa Mkuu





nshakua Mzee Mimi. Nasubiria kufa tu hapa , ili vitabu vyangu vifukiwe udongoni. Na siku atakayepata bahati ya kuvifukua na kuvisoma ...firstly..lazima atakua astonished...secondly lazima atakua troubled and lastly ...lazima ashikwe korodani zake ili kibumbu chake kiwe wazi..I mean like ..hapo ni yeye baada ya kuujua ukweli wote ( no sugarcoated truth) ...

"Genesis 18:9–15 describes the moment when Sarah overhears a prediction that she will soon bear a child. Given that she is 90 years old, and her husband is approaching 100, Sarah's first response to this is to laugh in disbelief."
