Historia ya Mzee Kipusa

Historia ya Mzee Kipusa

Mmh historia yako inafikirisha sana lakini kwa mtazamo wangu kuna mahali huko sekondari kuna watu walichungulia nyota yako wakaona nguvu yake na kuamua kukupiga na kitu kizito

Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana. Maana baada ya matokeo ya form 2. Nilipitia changamoto sana....bila Mungu ningepata zero.

Nilipenda kuutumia muda wangu mwingi kwenda kupiga magoti altareni....maana nilikua naona vitu haviendi kabisa. Lakini maajabu ya Mungu nikawa nafanya vizuri mitihani
 
We jamaa umeanza vizuri ukaja kuharibu mwisho.
Sasa we ukiwa unalaumulaumu tu mwisho itakuwaje?
Komaa nao tu ushaambiwa tunakaa dunia ya tatu.
Kuna la kuloloma tena
Najua naenda kufa soon.
 
Yawezekana. Maana baada ya matokeo ya form 2. Nilipitia changamoto sana....bila Mungu ningepata zero.

Nilipenda kuutumia muda wangu mwingi kwenda kwenda kupiga magoti altareni....maana nilikua naona vitu haviendi kabisa. Lakini maajabu ya Mungu nikawa nafanya vizuri mitihani
Ukiweza na kwa imani nakushauri jaribu kutumia tiba ile ya chumvi itakusaidia pakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiweza na kwa imani nakushauri jaribu kutumia tiba ile ya chumvi itakusaidia pakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeitumia sana....

Nilikua natumia chumvi aina tatu..

Sea salt
Magady salt
Na stone salt

But nilichogundua inasaidia mambo mengine. Tofauti. Mfano ;- kwasisi tusiopenda uzinzi...huwa tuna kumbwa na tatizo la kujichua. Ukitumia hizo chumvi zote tatu kwà kuziweka kwenye maji....tatizo hilo linaisha mara Moja. Hautajisikia kabisa kufanya masterbation. That's what I discovered! Na it works 100% perfectly.

Kwà ujumla issue zote za kingono ...it works 100%
 
Jaribu kutumia Hulu ukinuia utakayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana familia pia inahusika,inakuaje mzazi na ndugu hawashtiki kabisa kwa unayopitia??

Sali sana hakuna linaloshindikana kwa Mungu.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kuna Ndugu yangu (tumbo Moja ) ana pesa katika familia yangu....hanipendi hata kidogo...ananichukia sana....Huwa sielewi ananichukia kwasababu gani....nimeishawahi kumuomba anisamehe ( mara nyingi sana) kama nimewahi kumkosea kwà kujua ama kwà kutokujua lakini Huwa hataki.

Huyu Ndugu aliwahi kunipeleka mahabusu...kwà kutumia pesa na kunitoa nje kwà pesa. Hii ilikua mara yangu ya pili kwenda jela.

Mara ya KWANZA...ilikua nimemaliza Chuo....nikasema niende nyumbani kumsalimia Mama kwani nilikua nina miaka zaidi ya minne sijakanyaga nyumbani.

Nilivyofika nyumbani....baada ya siku 3 nikapata kesi kubwa sana mahakamani ambayo ilidumu kwà miaka mitano.

Source ya kesi ni :-

Pale nyumbani nilimkuta Kaka yangu ambae ndiye alikua mwenyeji. Sasa kumbe alikua na Bifu na watu wa Idara maji...walikua wakija kufunga bomba la maji Ili maji yaende kwà pressure kubwa kwà mheshimiwa diwani ambae alikua jirani yetu.

Ugomvi baina yao ukawa...why wafunge maji wakati wanayalipia bill? Wakati wanazozana huko , Mimi nilikua ndani nimetulia.

Nafikiri yule jamaa wa Idara ya maji hakupendezwa na jinsi alivyozozana na kaka yangu. Kesho yake Asubuhi akaja .....akauliza yule kaka wa jana yuko wapi? Bahati nzuri Blaza hakuepo....nilikuepo Mimi...akaambiwa hayupo....yupo mwingine. Nikaitwa...nikaulizwa mwenzako yuko wapi? Nikasema katoka.....

Nikaona jamaa katoka nje ya geti kumbe amekuja na askari pale home....nikasikia anawaambia au twendeni na huyo ...yeye akija ndio tutamuachia huyu....

Kiufupi, nilichukuliwa pale home nikapelekwa Polisi....nilipigwa sana siku hiyo ...nilivuja Damu mwili mzima....mpaka nikapoteza fahamu.

Walivyogundua nataka kufa....wakaanza kunimwagia maji usiku wa manane...

Wakaandika maelezo,...wakanishikisha dole gumbe nikapiga sahihi ya dole...

Kesho yake Asubuhi nikakimbizwa hospital....baada ya matibabu nikapelekwa mahakamani....nikapelekwa mahabusu jioni.

Nikasgitakiwa kwà makosa:-

1. Nimemzuia afisa wa Idara ya maji kufanya Kazi yake

2. Nimewazuia Polisi kufanya Kazi yao.

Hii kesi ilidumu kwà miaka mitano. Ilinitesa sana ingawa ilikua na wakili.
 
Typing error ni HUKU.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok. Asante , ingawa nimeishafanya hivyo mara kadhaa. Mimi pia ninayo Elimu dunia...kuna vitu naweza kuvijua hata bila kuambiwa na mtu. Au naweza kuvisikia lakini Mimi nikaviupgrade Ili kuzipata precepts zake ( I mean original ideas zake )
 
Una hatma kubwa lakini shida ipo ktk familia yenu au ukoo...

Kutakuwa na Uchawi au Mizimu kwenu...

Pengine wewe ndio unatakiwa ubebe mikoba ..

Hata kama ungefanikiwa vipi lazima urudishwe nyuma..

Ulishaanza kumtumikia Mungu na ukapewa macho ya Rohoni ya kuona...

Ulitakiwa ubaki katika karama na vipawa ambavyo Mungu amekupa...

Mara nyingi watu kama wewe wanaishia kujiua...

Unahitaji maombi...
 
Natoka katika ukoo wa kichifu.

Kwà mara ya KWANZA kufika kijijini kwetu , babu yangu aliponiona ....alipenda sana ukaribu na Mimi.

Hata kabla ya kifo chake....nilijikuta nimetoloka shule kwenda kumuona ( kwenye mazingira ambayo nilikua nimepigwa marufuku kukanyaga / kwà Mama wa kambo ( ilikua mara yangu ya KWANZA kufika pale kwà Baba yangu na kuingia ndani...kumbe ndio tulikua tunaagana. Akafariki baada ya siku chache.
 
Hakuna watu wanaoabudu MIZIMU kama MACHIFU...

Kila kitu kwao kuanzia uongozi wao..

Kuzaliwa watoto...

Kuoa...

Mvua nk...vyote waliomba mizimu

Naomba usimame na Mungu sana...

Maana una vita kubwa...
 
Back
Top Bottom