Historia ya Mzee Kipusa

Historia ya Mzee Kipusa

Kukwambia umechanganyikiwa ni msaada tosha
Kuchanganikiwa ni nini Ndugu? Nieleweshe tafadhali,...na nifanyeje Ili nitoke katika hali hii, maana inanitesa sana sana.
 
Siwezi kuliweka jina langu halisi hapa.

Lakini kama nitachukua maamuzi magumu. BASI lazima nitaacha ujumbe kwenye mfuko wangu wa suruali ama kwenye mfuko wa shati...kuwadirect watakao uchukua mwili wangu waupitie uzi huu. Hapa Jamii Forum

Hapo ndipo mtalijua jina langu halisi
Zingatia pia tunayokushauri boss issue ya kujiua nimekwambia huko juu achana nayo
 
Zingatia pia tunayokushauri boss issue ya kujiua nimekwambia huko juu achana nayo
Sawa Ndugu. Lakini ukweli ndio huo. Labda utokee muujiza.

Kama kweli Mungu ananiona....na anajua nimekuja kufanya nini hapa duniani...nitaendelea kuwepo. But ...kama hanioni...asee...I can't handle any more this situation.

Note: Na akinitoa katika maisha haya , nikawa na maisha mazuri...nitamtangaza sana sana KILA niendapo na nikanyagapo. Otherwise this life is meaningless..chasing after the winds....vanity upon vanity...
 
Kuna siku maisha yalinipiga sana nikakimbilia nyumbani kwetu ambako kwasasa sitakiwi tena kurudi....(na Mimi nimeapa nitarudi nimetoboa au marehemu.)

Nikiwa kitandani nimelala...nilistukia napigwa na kitu kizito kichwani mithiri ya nyundo...nikaamka..huku na wenge..nikawa naweweseka...hata nisimuone aliyenipiga hiyo nyundo. Fahamu zikarudi baada ya one minute...huku nasikia maumivu MAKALI sana.

Kuamka Asubuhi....kucheck kwenye pillow..nikakuta karatasi nyeupe imefungwa vizuri ndani yake kuna viunga vyeupe. Sikuelewa kwà kweli.
Mmh..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Note: Katika maisha yangu , nimewahi kuwa homeless mara kadhaa. Na kwà kua ninayo kadi ya bima ya Afya....mateso yalipokua yakinizidi (hasa baridi na njaa) ...nilikua naitumia kwenda kupata hifadhi kwenye wodi ya wagonjwa...kwa siku kadhaa. Hospital yeyote wakinikubalia natulia pale.

Nimefanya Kazi ndogo ndogo nyingi sana kukeep up na maisha....lakini to no avail.

Pole sana
Una familia?mke watoto?
 
Back
Top Bottom