mbutamaseko
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 745
- 1,072
hujui kama ulimiliki au hujui ziliishaje?Sijui Ndugu yangu..sijui.
hujui kama ulimiliki au hujui ziliishaje?Sijui Ndugu yangu..sijui.
Sijui ziliishaje...ingawa daftari nilikuanalohujui kama ulimiliki au hujui ziliishaje?
Hapa tatizo lilianzia hapa...Kuna siku kuna Ndugu upande wa Mama , alikuja kuishi pale nyumbani kwetu.
Aliwahi kunitamkia " Huwezi kamwe kuwa mtu mkubwa wala kufika kokote" .
Nakumbuka mwaka huo nilifanya interviews nyingi sana ...KILA mwezi interview zaidi ya 3...lakini sikupita hata Moja.
Nakumbuka kuna Moja , jina langu tayari lilikua limebandikwa ubaoni kwamba nimefaulu...then baadae likakatwa.
Yawezekana.Hapa tatizo lilianzia hapa...
Uchawi ndo chanzo cha matatizo yako...Kuna siku maisha yalinipiga sana nikakimbilia nyumbani kwetu ambako kwasasa sitakiwi tena kurudi....(na Mimi nimeapa nitarudi nimetoboa au marehemu.)
Nikiwa kitandani nimelala...nilistukia napigwa na kitu kizito kichwani mithiri ya nyundo...nikaamka..huku na wenge..nikawa naweweseka...hata nisimuone aliyenipiga hiyo nyundo. Fahamu zikarudi baada ya one minute...huku nasikia maumivu MAKALI sana.
Kuamka Asubuhi....kucheck kwenye pillow..nikakuta karatasi nyeupe imefungwa vizuri ndani yake kuna viunga vyeupe. Sikuelewa kwà kweli.
Lakini mbona nimeombewa sana na wachungaji wengi bila Mafanikio?Uchawi ndo chanzo cha matatizo yako...
Kudata haiwezekani ...kwasababu najua namna ya kudelete mafile yasiyofaa ....na kusafisha kichwa changu.Mzee kipusa una akili nyingi mpaka unaelekea kudata
For every dark night, there is a brighter day. Keep your head MzeeKipusaNimewahi kuishi katika stand kubwa kubwa za mikoa tofauti...kwenye majumba ya Wasafiri. Nimelala sana kwenye mabenchi.
Nimewahi kutembea kwà miguu kuanzia Asubuhi mpaka usiku , maeneo tofauti tofauti hapa TANZANIA. ( Kwasababu ya Kukosa nauli ya bus )
Nimejishughulisha kufanya Kazi ndogo ndogo nyingi uzijuazo wewe..but to no avail.
Nimesotea Kazi sana migodini. Kiufupi nimepambana sana...kutafuta ridhiki...mpaka kariakoo nilitaka kujaribu kulalia box ...
Sijui NIMEMKOSEA NINI MUNGU wangu.
Mzee kipusa ana mental issues sijui kama anakuelewa ulichomuandikia hapaKama ni kweli, pole Mzee
Ushauri wangu
Inaonekana kweli una maadui wengi ila adui na. 1 ni akili yako.
1. Punguza kufikiri sana, unaichosha akili yako na unajinyima furaha.
2. Acha kuhisi una "special mission" wewe ni muhimu kama watu wengine na ni wa kawaida kama watu wengine, kama una kitu cha tofauti kitakufuata hutakifuata.
3. Usikate tamaa, hiyo ni dalili ya kuamini na kuishi kwenye akili yako, amini yangu wewe ni mtu kama wengine na wapo wenye mambo kukuzidi.
4. Acha mawazo ya kujiua halafu kutaka ushauri, ingawa ni dalili ya uhitaji wa kisaikolojia wa kutaka kufarijiwa na kuona unajaliwa ila si njia nzuri, inaweza kuthibitisha upungufu wa utimamu wako. Kutaka kuwa na maamuzi ya kushangaza na maisha ya tofauti kunaweza kuwa dalili ya utundu mkubwa wa utashi wa akili au kuanza kuchanganyikiwa, sasa ili uwe safe baki kwenye ukawaida.
5. Jitahidi kuwa na subra, vyovyote itakavyokuwa hutashinda bila subra liwe la kimwili au kiroho.
La mwisho ingawa nna mengi..
6. Usiache kumuoma MUNGU, hapa sitakushauri zaidi maana ni suala la utofauti wa imani. Ila sote tunamuamini Mungu muweza wa yote.
ThanksFor every dark night, there is a brighter day. Keep your head MzeeKipusa
Maisha ni mafunzo, mitihani na maonyo. Sijapata suluhisho bado Bali ni mafunzo + maonyo tu.@ mzee kipusa vipi jambo lako lilipata suluhisho mkuu kama ndiyo tujuze maana ulikuwa umefikia hatua ya kujitoa uhai
Au sio! Only God can judge me!Mzee kipusa ana mental issues sijui kama anakuelewa ulichomuandikia hapa
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Wapi?Shida iko hapo
Nimekupata vyema sana. YOTE uliyoandika ni according to your experience.Kama ni kweli, pole Mzee
Ushauri wangu
Inaonekana kweli una maadui wengi ila adui na. 1 ni akili yako.
1. Punguza kufikiri sana, unaichosha akili yako na unajinyima furaha.
2. Acha kuhisi una "special mission" wewe ni muhimu kama watu wengine na ni wa kawaida kama watu wengine, kama una kitu cha tofauti kitakufuata hutakifuata.
3. Usikate tamaa, hiyo ni dalili ya kuamini na kuishi kwenye akili yako, amini yangu wewe ni mtu kama wengine na wapo wenye mambo kukuzidi.
4. Acha mawazo ya kujiua halafu kutaka ushauri, ingawa ni dalili ya uhitaji wa kisaikolojia wa kutaka kufarijiwa na kuona unajaliwa ila si njia nzuri, inaweza kuthibitisha upungufu wa utimamu wako. Kutaka kuwa na maamuzi ya kushangaza na maisha ya tofauti kunaweza kuwa dalili ya utundu mkubwa wa utashi wa akili au kuanza kuchanganyikiwa, sasa ili uwe safe baki kwenye ukawaida.
5. Jitahidi kuwa na subra, vyovyote itakavyokuwa hutashinda bila subra liwe la kimwili au kiroho.
La mwisho ingawa nna mengi..
6. Usiache kumuoma MUNGU, hapa sitakushauri zaidi maana ni suala la utofauti wa imani. Ila sote tunamuamini Mungu muweza wa yote.

1. Meeting with people with High Lanks ( MaRais, Viongozi wa serikali / dini :- talking with them, advicing them , exchanging ideas )Naomba unianbie ndoto zako hata 2 unazoota usiku zinazojirudia sana..
Kuna jambo nitakujibu
Wewe ni Mfalme au Mkuu...1. Meeting with people with High Lanks ( MaRais, Viongozi wa serikali / dini :- talking with them, advicing them , exchanging ideas )
2. Kwenye Kambi za jeshi ( and mostly Huwa naonekana nikiwa kambinj ( bwenini )
Hizo ni ndoto ambazo hujirudia mara Kwa mara.
Zamani , I use to see Jesus Christ appearing in dreams several times .