MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,971
- Thread starter
- #221
AminaJamaniii nmesoma hadi machozi yamenilenga
Mungu akusaidie seems una roho ya kukataliwa endelea kusali Mungu atakuonekania tu
AminaJamaniii nmesoma hadi machozi yamenilenga
Mungu akusaidie seems una roho ya kukataliwa endelea kusali Mungu atakuonekania tu
Siwezi kuliweka jina langu halisi hapa....mara ya 1 nilikomenti bila kusoma... Labda unaweza kutuambia jina lako halisi... Au unahofia usalama wako... Kwakwel nimesisimka kweli... Pole pia mkuu kwa mikasa kama hii... Wewe mheshimiwa MZALENDO... Tunaomba utupe jina lako kama utakuwa tayar kujisacrifice lakn maana najua itakuwa ni hatar kwa maisha yako mheshimiwa... Natanguliza pole...
Amen. Mungu anisaidie , anitetee na anipiganie......kama kwel wewe ni mzalendo wa nch yetu... Itoshe tu kusema mimi nakuombea na kwa niaba ya wananch wanaopata athari ktokana na mafisadi nakuombea pia maombi yangu yakiwawakilisha wananch wanyonge...
Tuachane na hilo la Kibiti.Ndugu..nimesema ukweli...na nilienda Wizara ya mambo ya ndani...enzi hizo ikiwa pale Posta ikitizama na na NEC....ile ofisi ya kitengo cha Ugaidi ilikua ghorofa ya 7 kama sijakosea.....
Na mistake kubwa ambayo walikua wanaifanya Polisi..ni kushare misosi ya mitaani na Magaidi ( so wakawa wanakua initiated easily ) . Hawakua na chakula special.
Tuliongea mengi siwezi kuyasema hapa.....na yalienda kufanyiwa Kazi. And within a very short time ...pale KiBiTi palitulia.
Ustawi wa Jamii kufanya nini Ndugu? Nipe maelekezo.
Inshahaall kila njia itafungukaMungu anisaidie sana
Correct,ndugu zake ndio wanamfungaKuna watu na baadhi yao ni ndugu huenda kuchungulia huko gizani na kuambiwa ili wafanikiwe inabidi wamfunge fulani kwakuwa nyota yake inawaka sana kuliko yake....!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kweliKuna siku kuna Ndugu upande wa Mama , alikuja kuishi pale nyumbani kwetu.
Aliwahi kunitamkia " Huwezi kamwe kuwa mtu mkubwa wala kufika kokote" .
Nakumbuka mwaka huo nilifanya interviews nyingi sana ...KILA mwezi interview zaidi ya 3...lakini sikupita hata Moja.
Nakumbuka kuna Moja , jina langu tayari lilikua limebandikwa ubaoni kwamba nimefaulu...then baadae likakatwa.
Asante kwà ushauri...though kuhusu makato...Tuachane na hilo la Kibiti.
Ustawi wa jamii waweza kukusaidia kurudi kwenye mstari khasa kwenye ajira kama bado una uwezo wa kufanya kazi.
Pia wana wajibu wa kukusaidia kiasi kidogo cha fedha za kijikimu endapo ipo programs za kuwasaidia wananchi wenye uhitaji kama wako.
Pia waweza kukushauri namna ya kuweza kupata makazi ya muda kabla hujasimama baada ya kupata kibarua mahala.
Pia waweza kukusaidia kupata mafao ambayo huenda ulikuwa ukikatwa ulipokuwa ukifanya kazi.
Ni kujaribu tu, maana nchi yetu ustawi wa jamii pia watakiwa kuwa na kamba.
Inshallah . Amini
Ni kweli. Nilikua naitwa interviews mpaka zingine siendi.Hivi ni kweli
uskate tamaa mheshimiwa... Fanya ambacho kinastahili kwa niaba ya nchi, kama alivokuwaga rais wetu maguful usiogope, nakuombea mheshimiwa...Amen. Mungu anisaidie , anitetee na anipiganie...
Kiukweli, bila yeye..siwezi asee...siwezi...nimechoka!!!
Mbona uko kama mimi jamaniNi kweli. Nilikua naitwa interviews mpaka zingine siendi.
Aminauskate tamaa mgeshimiwa... Fanya ambacho kinastahili kwa niaba ya nchi, kama alivokuwaga rais wetu maguful usiogope, nakuombea mheshimiwa...
Pole sanaMbona uko kama mimi jamani
Mungu ni mwemaJamn na mm napitia kipindi kigumu sana![]()
Ulipata msaada wowote wa mawazo nisaidieMungu ni mwema