Mleta mada ujuaji na mdomo wako ndivyo vimekufikisha hapa.
Kwakuwa maisha yako umeyavuruga mwenyewe kwa kujitia ujuaji, basi ni muda sasa wa kujikubali mwenyewe na kufocus kwa kujibidiisha.
Umri wako umeenda why hutambui hilo?
Jipe utulivu wa akili, acha kuishi kwa ndoto na sio wote waliopo mtaani wamefanikiwa kupitia elimu.
Blah blah zimekuwa nyingi sana na haiendani na umri wako.
Jitambue. Hapo upo kwenye hatua ya kufail vyote kwa pamoja. Umeshindwa kuwa na msimamo wala huna utulivu. Umefail hata kujenga family katika umri wako simply coz hujajipa utulivu wa akili thats why hata wanawake tu unashindwa kudumu nao.
Huwezi kufanikiwa ikiwa utaendelea kutangatanga.
Kwa huo umri wako ww sio wa kulilia ajira na kutukuza vyeti.
Kuna mambo mengi sana ya kufanya huku mtaani na maisha yakasonga.
Tatizo lako ni kwamba huwezi kujishikilia mwenyewe ndo maana unaishia kuwa homeless na kuona as if dunia inakutenga.
Acha ujuaji mkuu. Dunia uwanja wa vita. Pambana mwenyewe utalialia mpaka lini?