Historia ya Mkwawa ITV... Je, sisi ni wanaume?

maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
3,277
5,514
Nimeangalia documentary ya chief mkwawa leo,kuna kitu nitawauliza waliokiona je kuna namna Yoyote tunalingana nae? Wanaume wa sinza wanaopaka poda,wa kinondoni wenye vitambi na makunyanzi.... Masharobaro.. Je tukiangalia kiundani je hatujapoteza utamaduni weTu? Je sisi ni wanaume au?
 
A very poorly unproffessional directed video shooting...it does not qualify the name 'documentary'
 
A very poorly unproffessional directed video shooting...it does not qualify the name 'documentary'
lakini mkuu turudi kwenye ukweli...ni karne nyingine lakini mbna sisi ni tofauti sana na wao sizungumzii uigizaji bali events zilizokua zinaonyeshwa pale
 
mkuu kuna documentary gani unayoifahamu bongo yenye Quality unayotaka?
 
Documentary nyingi bongo zinakuwa hovyo main reason ni bajeti as a result mtu anaamua kufanya kila kitu ata ambavyo sio fani yake anaforce kingi .The same to movies za kibongo,mtu mmoja title zote kazibeba kuanzia udirector............................................................. etc
 
Nimeangalia documentary ya chief mkwawa leo,kuna kitu nitawauliza waliokiona je kuna namna Yoyote tunalingana nae? Wanaume wa sinza wanaopaka poda,wa kinondoni wenye vitambi na makunyanzi.... Masharobaro.. Je tukiangalia kiundani je hatujapoteza utamaduni weTu? Je sisi ni wanaume au?

kaka ile sio documentary.
 
umenifurahisha kweli, wanaume kupaka poda hawa wameanza juzi juzi tu, hata sisi enzi zetu hata mafuta tulikuwa hatupaki, tufauti na kina Mkwawa wa Sinza, hao wa vitambi huko kinondoni kwenu itakuwa ni ulevi tu wa nafaka zilizooza (bia) na manyama nyama ya kuchoma ambayo hayajulikani ni nyamafu ama ni halali!
 
Back
Top Bottom